Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nyoka hatari kuliko wote duniani hukaa saehemu tulivu sana isiyo muingiliano wa makelele ya shughuli za binadam, mara nyingine hukaa kwenye pango lenye nyuki na nyuki hutengeneza masega yao wakiacha njia ya mwamba huyu kupita aingiapo na kutoka.

Simulizi za kibantu zinasema "huyu nyoka anaweza kugonga na kuua kundi la ng'ombe hata sabini kwa dakika chache sana".

Simulizi zinatanabaisha kuwa huyu nyoka akionekana maeneo karibu ilikuwa ni jukumu la akina mama kumkabili huyu nyoka kama ifuatavyo:-

Hupika uji kwenye jungu, uji mzito, ukiwa bado wamoto sana wanaweka ngata kichwani na kujitwika huo uji wa moto na kwenda eneo alipo huyo nyoka.

Kwa tabia yake ya kugonga kichwani, nyoka huyu humuendea kwa kasi na kuruka ili agonge kichwa matokeo yake hujikuta ametumbukiza kichwa chake kwenye uji wa moto na kupofuka on the spot!!!!!!

Huo ndio huwa mwisho wa mchezo.

Nyoka huyu aliripotiwa kuingia gerezani huko singida wilaya ya iramba (ushora) na kuua wafungwa wote akapona mmoja tu aliyejitoa muhanga kumng'ata ng'ata shingoni hadi akamuua naye akiwa hoi almanusura.

Kama nyoka wa character hizi ndio koboko basi ni kiboko kweli, lakini kama koboko hana sifa hizi basi yeye sii zaidi ya wote.
Mkuu sikia tu lakini huyu mdudu ni hatari zaidi ya simba,,anaposimama anakuzidi nusu mita na anaspeed simba anasubiri,,,,na hapumziki kugonga mpaka akikishe adui wote wamekufa hata muwe 100 atawakalisha tuu
 
Ni raha sana hata kenge anatumia stair hiyo hiyo mpak anamuua then anamla,ila paka sasa,,,ni mwendo wa kumpiga makofi na kumkwepa nyoka mpaka anachoka kabisa then anaburuza anakabithi watoto wake wachezee.hamli.

Nilishuhudia hii live miaka ya nyuma home nilishangaa sana nikaamini katika wanyama smart ni jamii ya paka yaan anaanza kama utani vile nyoka na ukali wake woote mfukoni.

Mkuu sio makofi anakua ametoa kucha zake alafu paka anasumu kuzidi watu wanavyofikilia
 
Kuna jamaa amegongwa sana na hawa black mamba hadi kawa sugu, sasa anataka kutengeneza vaccine ya sumu ya black mamba
 
Hizi comments nazisoma kwa kujilazimisha sana na zanipa wakati mgumu.
Sipendi kumuona nyoka, hata habari zake sipendi kuzisikia, ni kiumbe nisiyempenda hata chembe.
 
Kuna watu 5 huku kigamboni maeneo ya Amani Gomvu wameshazikwa kwa kugongwa na nyoka anayethaniwa kuwa koboko. Kutafuta koboko mtanadaoni ndo kumbe black mamba! Lord help us
 
mmeripoti kwa watu wa afya wa kata, tarafa au wilaya? fanyeni hivyo labda watawaletea anti-venom/dawa na mtaalamu kwenye zahanati ya karibu.
 
Uyu nyoka ni kama simba mkiangaliana usoni sana anaondoka nikishawai kumkimbiza seemu flani naamini atonisahau
 
Leo nataka tufahamishane kuhusu nyoka huyu hatari kwa sisi waswahili tunamuita KOBOKO lakini kwa lugha ya kiingereza huitwa Black Mambas

Black mamba ni moja ya nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu Mashariki na Kusini mwa Afrika. Black mamba anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.

Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Black Mamba. Kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Black Mamba na binadamu yameongezeka zaidi.

1- Black mambas ni nyoka mwenye sifa ya urefu anaweza kufikia miguu 14 urefu na 1.58757 katika uzito.

2- Black mamba ana mwili mwembamba kufunikwa na ngozi yenye magamba kama ilivyo kwa nyoka wa jamii nyingine, Pamoja na wao kujulikana kwa kiingereza kama Black mambas lakini hawana rangi nyeusi katika ngozi na rangi ya mwili inategemea makazi yao na inaweza kuwa ya kijani, kijivu au njano.

3- Black mambas ni jina lake kwa sababu sehemu ya ndani ya vinywa vyao ni nyeusi kabisa. Black mamba kuonyesha kinywa chake cheusi wakati anakabiliwa na hatari.

4- Nyoka huyu huanza kutanua shingo yake lakini sio kama afanyavyo COBRA na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa inatoka upepo na hii ni ishara nyingine kwamba kiumbe hutayari shambulio.

Ukiona amena moja ya hizo ishara unashauri wa usifanye chochote kwasababu kwa kasi aliyonayo hutaweza kumuwai kifupi tulia mpaka hasira zishuke na ajiondokee narudia usithubutu kujifanya unafurukuta matendo yako hayatawahi tendo lake.

5- Ingawa nyoka huyu amebeba sifa ya kuwa nyoka mjeuri na mkali sana, lakini nayeye hujaribu kutoroka kabla mashambulizi lakini hushambulia kwa ukatiri sana ikibidi. Kumbuka kwa mtulivu ukikutana nae

[https://3]

6- Sasa upande wa sumu hapa ndipo patamu Black mamba ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa Neuro – hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni Cardio-toxin hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake inaweza kuua.

7-Black mamba anatumia sumu kuwinda aina mbalimbali za ndege na wanyama wadogo. Na hutumia kama kitoweo chake

8- Black mamba anaishi katika mashimo ya miti na katika mashimo ya miamba. Pamoja na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, lakini hana ujanja mbele ya Nguchiro na Mbweha, na Nyegere.

9- Black mamba hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.

10- Jike hutaga mayai kati ya 10 na 25 katika kiota juu ya ardhi. Joto ni muhimu kwa ajili ya incubation ya mayai. Na mayai hujitotoa baada ya miezi 3. Na vijinyoka hivyo vichanga huanza kujihudumia kwa kila kitu na huwa na sumu ile ile kama ya nyoka mkongwe hivyo usije ukadharau.

11- Black mamba anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 katika kama atafugwa.
 
Lakini huyu sio mtata kama black mamba,black mamba ni mkorofi,hata akikuona kwa mbali hata kama huna mpango nae ana tabia ya ku-charge kuja uliko akugonge.
Ni kwli kabsa, siku moja miaka ya nyuma nikiwa na mama shamba. Tuluana live huyu nyoka na yeye akatuona, haikuwa umabli mrefu sana ghafla akaanza kusogea kutufuata kasimama kama tawi la mti lisilo na matawi. Mungu mkubwa walitokea panya wawili wanakimbizana mbele yake wakamuamiaha uelekeo akaanza kuwafukuzia ndipo tukapata upenyo wa kukimbia.
Kilichofuata tulikua tunaenda shambani kama kwetu kama wezi, kuogopa mwenyeshamba uyo koboko asije akatuvamia tena.
 
1473878276122.jpg
Leo nataka tufahamishane kuhusu nyoka huyu hatari kwa sisi waswahili tunamuita KOBOKO lakini kwa lugha ya kiingereza huitwa Black Mambas

Black mamba ni moja ya nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu Mashariki na Kusini mwa Afrika. Black mamba anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba.

Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Black Mamba. Kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Black Mamba na binadamu yameongezeka zaidi.

1- Black mambas ni nyoka mwenye sifa ya urefu anaweza kufikia miguu 14 urefu na 1.58757 katika uzito.

2- Black mamba ana mwili mwembamba kufunikwa na ngozi yenye magamba kama ilivyo kwa nyoka wa jamii nyingine, Pamoja na wao kujulikana kwa kiingereza kama Black mambas lakini hawana rangi nyeusi katika ngozi na rangi ya mwili inategemea makazi yao na inaweza kuwa ya kijani, kijivu au njano.

3- Black mambas ni jina lake kwa sababu sehemu ya ndani ya vinywa vyao ni nyeusi kabisa. Black mamba kuonyesha kinywa chake cheusi wakati anakabiliwa na hatari.

4- Nyoka huyu huanza kutanua shingo yake lakini sio kama afanyavyo COBRA na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa inatoka upepo na hii ni ishara nyingine kwamba kiumbe hutayari shambulio.

Ukiona amena moja ya hizo ishara unashauri wa usifanye chochote kwasababu kwa kasi aliyonayo hutaweza kumuwai kifupi tulia mpaka hasira zishuke na ajiondokee narudia usithubutu kujifanya unafurukuta matendo yako hayatawahi tendo lake.

5- Ingawa nyoka huyu amebeba sifa ya kuwa nyoka mjeuri na mkali sana, lakini nayeye hujaribu kutoroka kabla mashambulizi lakini hushambulia kwa ukatiri sana ikibidi. Kumbuka kwa mtulivu ukikutana nae

6- Sasa upande wa sumu hapa ndipo patamu Black mamba ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa Neuro – hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni Cardio-toxin hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake inaweza kuua.

7-Black mamba anatumia sumu kuwinda aina mbalimbali za ndege na wanyama wadogo. Na hutumia kama kitoweo chake

8- Black mamba anaishi katika mashimo ya miti na katika mashimo ya miamba. Pamoja na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, lakini hana ujanja mbele ya Nguchiro na Mbweha, na Nyegere.

9- Black mamba hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.

10- Jike hutaga mayai kati ya 10 na 25 katika kiota juu ya ardhi. Joto ni muhimu kwa ajili ya incubation ya mayai. Na mayai hujitotoa baada ya miezi 3. Na vijinyoka hivyo vichanga huanza kujihudumia kwa kila kitu na huwa na sumu ile ile kama ya nyoka mkongwe hivyo usije ukadharau.

11- Black mamba anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 katika kama atafugwa.
 
daaah huyu nyoka nishawahi kumsoma tena hapa jf
anatisha sana
 
Back
Top Bottom