Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Vp mkuu ushawahi kukutana nae?Huyu mshenzi laanakum kaanzishiwa thread zaidi ya kumi hapa JF...
Hii takataka sio ya kukutana nayo. Ina roho mbaya shetani anasubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mkuu ushawahi kukutana nae?Huyu mshenzi laanakum kaanzishiwa thread zaidi ya kumi hapa JF...
Hii takataka sio ya kukutana nayo. Ina roho mbaya shetani anasubiri
Ha ha ha dawa ya nyoka ipo nakuwa anakukimbia kila siku
Khaaa left group si kwa woga huoAse mimi na nyoka vitu viwili tofauti yaani ata awe mdogo
Nakumbuka aliingia nyoka ndani ase sikulala tena home nikaludi kwa mzee kama wiki hivi ndio nikasema wakaenda muua
Huyo koboko ni nyoka hatari sana
Thread gani hizi usiku huu na umeme hakunaMjue Nyoka Aina Ya Coboko*Au Black_Mamba
nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka wenye sumu kali zaidi duniani, ni nyoka anaependa sehemu tulivu isiyo na kelele, na ni mwepesi kubaini hatari yoyote pindi anapokuwa mawindoni na kuwa tayari kwa lolote, hata kama yuko mbali atajaribu kufika eneo analodhani ni hatari kwa uhai wake na kukabiliana nalo kikubwa ahakikishe yuko salama kwa asilimia mia moja, ana uwezo wa kuwagonga ng'ombe ishirini kwa dakika zisizo zidi tano, ni mwepesi wa kutoroka pindi anapoona kazidiwa na adui, na sehemu anayoishi haruhusu kiumbe chochote kuwa karibu, lakini pamoja na ubabe wake wote huo hana ujanja kwa ndege wanaoitwa bundi na mwewe weusi wakubwa huwa ni chakula pendwa kwa ndege hao, na ndiyo maana mawindo ya nyoka huyu huwa asubuhi kuanzia saa tatu mpaka saa tano na hurudi sehemu anayoiamini ni salama kwake ( kwenye pango au kwenye vichuguu) na mchana hutoka pindi jua limepoa na hufanya mawindo yake mpaka jua linapo anza kuzama tayari huwa katika sehemu salama, pia ni kiumbe asiyependa unyevu nyevu hivyo hulazimika kuhama pindi inapofika masika huhamia kwenye mapango ya miti na kiangazi hurudi kwenye vichuguu, kuna koboko wenye rangi tofauti tofauti lakini hawa wawili wa kijivu na rangi ya brown (kahawia) ni hatari sana.
Nb. Nyoka hawa huuma pindi utakavyo washtukiza ila kama watakuona umbali wa mita tano na hujamuona husimama urefu wa mita mbili na kukugonga kichwani, urefu wa hawa nyoka hufikia hadi futi kumi na mbili.View attachment 2498561
Khaaa left group si kwa woga huo
Umekurupuka sana, hamna koma wala nukta, pia nilitaraji kukutana na melezo mapya kumuhusu huyu kiumbe, ila ninayo yajua ni mengi kuliko niliyo yakuta humu
Ndani ya mdomo wa Koboko aka blackmambaView attachment 2498581
Sema ni vile tu wanaadam mna nongwa sana. Mbonna msela yupo pisi sana. Kama hapo anajipungia zake upepo tu.Mjue Nyoka Aina Ya Coboko*Au Black_Mamba
nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka wenye sumu kali zaidi duniani, ni nyoka anaependa sehemu tulivu isiyo na kelele, na ni mwepesi kubaini hatari yoyote pindi anapokuwa mawindoni na kuwa tayari kwa lolote, hata kama yuko mbali atajaribu kufika eneo analodhani ni hatari kwa uhai wake na kukabiliana nalo kikubwa ahakikishe yuko salama kwa asilimia mia moja, ana uwezo wa kuwagonga ng'ombe ishirini kwa dakika zisizo zidi tano, ni mwepesi wa kutoroka pindi anapoona kazidiwa na adui, na sehemu anayoishi haruhusu kiumbe chochote kuwa karibu, lakini pamoja na ubabe wake wote huo hana ujanja kwa ndege wanaoitwa bundi na mwewe weusi wakubwa huwa ni chakula pendwa kwa ndege hao, na ndiyo maana mawindo ya nyoka huyu huwa asubuhi kuanzia saa tatu mpaka saa tano na hurudi sehemu anayoiamini ni salama kwake ( kwenye pango au kwenye vichuguu) na mchana hutoka pindi jua limepoa na hufanya mawindo yake mpaka jua linapo anza kuzama tayari huwa katika sehemu salama, pia ni kiumbe asiyependa unyevu nyevu hivyo hulazimika kuhama pindi inapofika masika huhamia kwenye mapango ya miti na kiangazi hurudi kwenye vichuguu, kuna koboko wenye rangi tofauti tofauti lakini hawa wawili wa kijivu na rangi ya brown (kahawia) ni hatari sana.
Nb. Nyoka hawa huuma pindi utakavyo washtukiza ila kama watakuona umbali wa mita tano na hujamuona husimama urefu wa mita mbili na kukugonga kichwani, urefu wa hawa nyoka hufikia hadi futi kumi na mbili.View attachment 2498561
🤣🤣Huyu mshenzi laanakum kaanzishiwa thread zaidi ya kumi hapa JF...