joseph sexson
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 149
- 59
Umeongea point mpaka raha tayari kashagawa mashabikiNaona Kaingia na LUGOLA STYLE
Ukichelewa unatimuliwa. Je kesho hao hao waliobaki wakitangaza kujiuzulu atacheza yeye,
Lkn pia akumbuke kitendo cha kuengua wachezaji wa klabu mojawapo kubwa tayari ametengeneza Upinzani kwa mashabiki wa Upande huo hawatamuunga mkono kivile kama sio kuzomea. Litazamwe upya hili.
Dalili za mvua ni Mawingu...huyo kocha kashindwa day one tayari...yeye alivyokuwa timu ya taifa ya Nigeria akichezea vitimu vya "chokochokoroni" wakati akiwahi kambini huku wakina Finidi Geogre na Kanu wakichelewa kambini kutokea Ulaya..walifkuzwa? huyu hatufai tayari
Hata kama Manula alifika. Lakini kanuni haikumruhusu yeye kuwahi ni maamuzi tu. Timu inatakiwa kumruhusu mchezaji saa 72 kabla ya mchezo na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24.Watanzania ni watu wa ajabu sana...umeshawahi kusikia Ronaldo kaitwa timu ya taifa halaf kachelewa kufika bila taarifa?!..mbona manula kafika kwa wakat hao wenzake kwann wachelewe tena bila taarifa?
kama kosa ni la klabu kushindwa kuwaruhusu mapema klabu ipewe adhabu kali
Wachezaji wa Simba SC ambao Waliitwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, wameondolewa kwenye kikosi hicho kwa kushindwa kuripoti kambini kwa muda uliotakiwa
Wachezaji hao ni Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassan Dilunga, John Bocco na Shiza Kichuya ambao wote walitakiwa kuripoti kambini jana usiku lakini Aishi Manula pekee ndiye aliyeripoti
Kocha Emmanuel Amunike ametoa msimamo huo, kwamba hataki wachezaji wasiojitolea kwa ajili ya timu yao Taifa.
Wachezaji walioitwa kuchukua nafasi ya wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha Taifa Stars ni Salum Kimenya, Paul Ngelema, David Mwantika, Salum Kihimbwa, Ali Abdulkadir, Kelvin Sabato, Frank Domayo.
Mbali na wachezaji hao viongozi wa Simba, Hamisi Kisiwa na Meneja Richard Robert watapelekwa katika Kamati ya Maadili ya TFF siku ya Jumamosi ili kuchukuliwa hatua
Timu ya taifa (Taifa stars) inaingia kambini kujiandaa kupepetana dhidi y ya AFCON.
View attachment 850297
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumempa rungu tukubali matakwa yake. Ndiyo kocha.Kama Nidhamu Yeye Mwenyewe Kaikosa! Kama wewe umesahau basi sisi Hatujasahau Kitendo Alichokifanya Yeye na Kina Okocha World Cup 1998 kwa Kudai Pesa za Posho Hadharani Na Kutishia Kugomea Mchezo Wao dhidi Ya Denmark hati Wakaucheza Chini ya Kiwango Wakiwa na Mgomo Baridi.
Sasa Leo Yeye anaona Ajabu Watu Kuchelewa Kambini Wakati Yeye Mwenyewe Ana CV mbovu kabisa Kwa Upande Wa Nidhamu.
Ndio uandish gani?. Hujui kitu na wewe pumba zote ni zako?Hapana za Baba yako... hii sio commedy ni soka huwezi elewa kitu na sio kila kitu lazima uchangie....waache wanaojua mpira wachangie....sijui kama unafahamu hata historia ya Amunike ...pole
Kuna deadline ya wanasoka wanaocheza nje na deadline ya wanaocheza ndani. Sio mnakurupuka jifunzen etiPomoja na hivyo mkuu, kumbuka akina Chilunda, Samatta, Mao, Msuva, Banda..Hawajaripoti na wachezaji wa Simba sio kwamba wamegoma wamechelewa tena masaa.
Tuangalie na upande wa pili, hiyo imo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama Manula alifika. Lakini kanuni haikumruhusu yeye kuwahi ni maamuzi tu. Timu inatakiwa kumruhusu mchezaji saa 72 kabla ya mchezo na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24.
Wachezaji hawajavunja kanuni. Tuache mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachotakiwa kocha asingiliwe kwenye maamuzi yake kuendesha timu!mpira wa kibongo unatawaliwa na SIMBA na YANGA sasa ngoja tushuhudie maneno baada ya kufungwa hata mechi moja wanao msaport kwa sasa ndo hugeuka mwiba kwenye kibarua chake
Atajuta kuifahamu bongompira wa kibongo unatawaliwa na SIMBA na YANGA sasa ngoja tushuhudie maneno baada ya kufungwa hata mechi moja wanao msaport kwa sasa ndo hugeuka mwiba kwenye kibarua chake
yaan wewe mwache ajikute anaifahamu bongo kuliko wazaliwaAtajuta kuifahamu bongo
sasa na alio wateuwa c kaweka mamwinyi wale wale kabadilisha nntumeshazoea kufungwa hata tukifungwa mara mia mbili siumii tena alichofanya kocha nimekipenda huu umwinyi walionao wachezaji ndio unasababisha tusifanye vizur