Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

Alikuwa anapoteza hivi au vile its all irrelevant. Utabiri ni probability, unaweza usipate na kupata. Sasa wewe kwa sababu ulijiwekea matokeo yako yakaja mengine unajaribu ku explain why utabiri umefeli
Too late
 
Hapana mkuu... at least kuwe na fairness kwenye ushindi
 
Huu mstari au mshazari? 😂😂😂
 
Mstari halisi ni huu uliochorwa na AzamView attachment 3107988
Kwenye upande wa build up ya mashambukizi simba wajitathmini.
Wamekuwa na shida ya offside nyingi ikitokea wamekutana na waamuzi makini watapata kazi sana.
Ukitaka kuamini angalia hata goli la pili fhini ya waarabu kuna mtu alikuwa offside akaenda kumghasi kipa wakati anaucheza ule mpira hadi ukaingia wavuni.

Timu yangu ijiangalie sana
 
Ken Gold walifunga goli siku hiyo? Mbona mimi nimeona mpira umepitiliza hadi mwisho wa nguzo ya pili? Hata kugonga nguzo ya pili tu imeshindikana
Hujawahi kuona kona mpira unatoka nje kisha unaingia ndani?

Baada ya kuubabatiza nguzo na mkono wa Diara, ulivuka msitari 😀
 
Positivity kubwa zaidi. Timu ni nzuri na kocha ni mzuri.
 
Positivity kubwa zaidi. Timu ni nzuri na kocha ni mzuri.
Upande wa defence timu omeanza kuelewana vizuri, utathibitisha kwa kuangalia jinsi kipa ja beki zake wanavyopanda na kushuka, ila kule mbele wajiimarishe zaidi.
 
Upande wa defence timu omeanza kuelewana vizuri, utathibitisha kwa kuangalia jinsi kipa ja beki zake wanavyopanda na kushuka, ila kule mbele wajiimarishe zaidi.
Simba ina magoli 9 na haijafungwa goli. Wameshinda mechi zote tatu..

Wastani wa goli tatu kila mechi.

Tulia mkuu.
 
Hujawahi kuona kona mpira unatoka nje kisha unaingia ndani?

Baada ya kuubabatiza nguzo na mkono wa Diara, ulivuka msitari [emoji3]
Hapo umezungumzia mpira unatoka nje kisha unaingia ndani sasa ule mpira kama ulikuwa upo ndani usingepitiliza goal line na nguzo pasipo hata kuugonga hata nguzo ya pili. Magoli ya mipira ya kona ukigonga nguzo ya pembeni kituo kinachofuata ni kugonga nyavu ya upande wa pili
 
Dah! Basi nina mashaka hujawahi hata kucheza huo mpira.

Mpira unaweza kuvuka msitari na kurudi ndani kutegemea na jinsi ulivyopigwa au kubabatiza.

Mkuu mpira unaweza ku bend. Na kama kuna spinning ndo kabisa.
 
Scenario unayozungumzia wewe ni mpira uliopigwa kwa angle ya juu, kama ulisoma physics utaelewa. Ila kwa ule mpira ulivyopigwa hauwezi kuwa uliingia ndani kisha utoke nje. Njio na picha ikionesha mpira ukiwa umevuka mstari kwa asilimia 100
 
Ahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…