Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

Scenario unayozungumzia wewe ni mpira uliopigwa kwa angle ya juu, kama ulisoma physics utaelewa. Ila kwa ule mpira ulivyopigwa hauwezi kuwa uliingia ndani kisha utoke nje. Njio na picha ikionesha mpira ukiwa umevuka mstari kwa asilimia 100
Kama umeshindwa kuelewa potezea tu.
 
Goli la kwanza huwezi mlaumu mshika kibendera, ilikuwa ngumu kuiona. Ila lile la pili sijui alikuwa anafikiria nini?

Ila pamoja na yote Azam alicheza mpira wa hovyo yaani ukiachana na ule mpira wa Fei uliogonga nguzo, hawana short on target hata moja.
 
Japo makolo watakupinga
 
Umeumia wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…