Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu.
Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga.
Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana,
Ikabidi Crown Fm wa- mute ile simu ya Julio. Baadae ikabidi Jemedari Said amtulize Julio.
Mlengwa alikuwa Hance Raphael