Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha ubishi "Utomaso"...........Kwa hiyo kumbe kurudi kwao ndio uthibitisho wa kubwaga manyanga?
We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.Ameona hana msaada maana Simba wamemleta kocha mpya 'PAKA'
Mkikaa kijiweni mmetawanya miguu ndo mnadanganya upumbavu kama huu?πππ Mpira hauna uchawi. Tanga na ,Zanzibar au Bagamoyo wangekuwa wanashinda matches kila siku bwege wewe.We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
Hizo inshu za "PAKA" kwa TP MAZEMBE mbona hazikufanya kitu?We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
Acha ubishi "Utomaso"...........Kwa hiyo kumbe kurudi kwao ndio uthibitisho wa kubwaga manyanga?
Sasa mlimleta wa nini baada ya Patrick kuondoka kama Paka wapo? Acha mambo yako ya kuamini ushirikina......mbona hamfiki final kama mnajua ushirikina zaidi kuliko ufundi?We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
Ni world cup mkuu,labda kama kuna mashindano mapya mi sijayajua
Walimtegea mechi ya jana bahati nzuri akashinda na ameamua aondoke kwa heshimaAngechelewa Wangemtimua!
Bado yule MMASAI wa MANUTD!Confirmed, jamaa ameachana na simba.
Kwahiyo we unafikiri hao Wakongo hawafanyi hayo mambo? Mazembe walijiandaa kwa figisu zote;zinazoonekana na zisizoonekana. Ulijiuliza ni kwanini TP Mazembe waliamua kushukia uwanja wa ndege wa Songwe badala ya JKNIA, KIA au Mwanza Airport? Au unafikiri waliamua tu?Hizo inshu za "PAKA" kwa TP MAZEMBE mbona hazikufanya kitu?
Sumbawanga mbona hujaitaja?Mkikaa kijiweni mmetawanya miguu ndo mnadanganya upumbavu kama huu?πππ Mpira hauna uchawi. Tanga na ,Zanzibar au Bagamoyo wangekuwa wanashinda matches kila siku bwege wewe.
Viongozi wako wameshatoa taarifa tayari huko bila shaka utakuwa umesadiki ndugu "Tomaso"Kwa hiyo kumbe kurudi kwao ndio uthibitisho wa kubwaga manyanga?
We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.
Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.
Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
Bwege ni yule mzazi wako wa kike aliyekuzaa.Mkikaa kijiweni mmetawanya miguu ndo mnadanganya upumbavu kama huu?πππ Mpira hauna uchawi. Tanga na ,Zanzibar au Bagamoyo wangekuwa wanashinda matches kila siku bwege wewe.
Mimi ni nani hata nisiamini kwamba ushirikina upo ikiwa Qur'an,Biblia na karibia vitabu vyote vya dini vinatambua uwepo wake? Kwahiyo soccer ni exceptional sana hata uchawi usiwemo ndani yake?Acha ubishi "Utomaso"...........
Sasa mlimleta wa nini baada ya Patrick kuondoka kama Paka wapo? Acha mambo yako ya kuamini ushirikina......mbona hamfiki final kama mnajua ushirikina zaidi kuliko ufundi?
watoto wa jk brn hawawez kukuelewaBwege ni yule mzazi wako wa kike aliyekuzaa.
Yaani uchawi uwepo kwenye nyanja nyingine za maisha ila kwenye soka ndo usiwepo? What makes soccer exceptional?
Sijasema kwamba uchawi pekee unaweza kuibeba timu,hapana! Lazima viwepo vitu vingine vitakavyo combine na uchawi ili kuleta matokeo. Sasa hayo maeneo unayoyataja wanaweza kuwa wanakosa hivyo 'vitu vingine'.
Waulize wachezaji wenyewe kisiri siri watakwambia (achana na zile interviews zao ambazo huwa hawausemi ukweli). Waulize marefarii na wengineo.
Mfano:hivi unaposikia 'misumari' miongoni mwa wachezaji huwa unahisi ni kitu gani hicho? au unadhani haipo?