Kocha Mkuu Sven Ven Der Broeck aachana na Simba SC

Ameona hana msaada maana Simba wamemleta kocha mpya 'PAKA'
We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.

Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.

Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
 
Mkikaa kijiweni mmetawanya miguu ndo mnadanganya upumbavu kama huu?😂😂😂 Mpira hauna uchawi. Tanga na ,Zanzibar au Bagamoyo wangekuwa wanashinda matches kila siku bwege wewe.
 
Hizo inshu za "PAKA" kwa TP MAZEMBE mbona hazikufanya kitu?
 
Kwa hiyo kumbe kurudi kwao ndio uthibitisho wa kubwaga manyanga?
Acha ubishi "Utomaso"...........

Sasa mlimleta wa nini baada ya Patrick kuondoka kama Paka wapo? Acha mambo yako ya kuamini ushirikina......mbona hamfiki final kama mnajua ushirikina zaidi kuliko ufundi?
 
Hizo inshu za "PAKA" kwa TP MAZEMBE mbona hazikufanya kitu?
Kwahiyo we unafikiri hao Wakongo hawafanyi hayo mambo? Mazembe walijiandaa kwa figisu zote;zinazoonekana na zisizoonekana. Ulijiuliza ni kwanini TP Mazembe waliamua kushukia uwanja wa ndege wa Songwe badala ya JKNIA, KIA au Mwanza Airport? Au unafikiri waliamua tu?

Baada ya Simba kumfanyia mbaya AS Vita hapa DSM,Mazembe walijulishwa kilichokuwa kinafanyika ndani ya Simba hivyo wakajipanga,la sivyo walikuwa wanaliwa kichwa pia.

AS Vita, Al Ahly, na hata JS Sourra walilalamikia kupuliziwa 'kemikali' vyumbani. Issue haikuwa kemikali bali kulikuwa kuna mengi zaidi.Na ingekuwa ni kemikali kiuhalisia CAF wangebaini na wangeipiga adhabu Simba.Ile ilikuwa kemikali ya kijadi ambayo wala huwezi kuithibitisha kwa vipimo vyenu vya kisayansi.
 
Ninashangaa sana utopolo wanasikitika kiasi cha wengine kudai wameumia sana na kuondoja kwa aliyekuwa head coach wa Simba Sven.

Jambo hili linanishangaza kwa vile mimi ninaamini tunahitaji mwalimu mwingine mwenye uwezo wa kuwatumia wachezaji tulio nao kwa ufanisi.

Tunampingeza kwa mafanukio aliyoyapata akiwa mwalimu ingawa Simba ina wachezaji wenye vipaji na waliamua matokeo katika mechi nyingi.

Kila la heri uendako
 
IMG-20210107-WA0026.jpg
 
Matatizo mengine yanasababishwa na elimu duni.Basi kumbe timu za Kigoma wangekuwa mabingwa kila mwaka
We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana.

Kusema kweli yule 'paka' ametoa support kubwa sana. Hivi unajua hata huyo Patrick Aussems ambaye mashabiki wa Simba wanaona alikuwa 'kocha bora' naye alikuwa 'mweupe' tu asiye na msaada? Simba iliingia robo fainali kwa issue za kipaka paka,na wala si kwa uwezo wake. Ile mechi ya Simba vs Nkana ilikuwa imeshachezwa siku 2 kabla ya game halisi na viongozi wa Simba waliingia kwa Mkapa wakiwa na matokeo, NA NDIVYO ILIVYOKUWA.

Nyinyi watoto wa .com mnaosema zile issue huwa hazina msaada endeleeni kuamini hivyo. DUNIA SI KAMA UIJUAVYO.
 
Mkikaa kijiweni mmetawanya miguu ndo mnadanganya upumbavu kama huu?😂😂😂 Mpira hauna uchawi. Tanga na ,Zanzibar au Bagamoyo wangekuwa wanashinda matches kila siku bwege wewe.
Bwege ni yule mzazi wako wa kike aliyekuzaa.

Yaani uchawi uwepo kwenye nyanja nyingine za maisha ila kwenye soka ndo usiwepo? What makes soccer exceptional?

Sijasema kwamba uchawi pekee unaweza kuibeba timu,hapana! Lazima viwepo vitu vingine vitakavyo combine na uchawi ili kuleta matokeo. Sasa hayo maeneo unayoyataja wanaweza kuwa wanakosa hivyo 'vitu vingine'.

Waulize wachezaji wenyewe kisiri siri watakwambia (achana na zile interviews zao ambazo huwa hawausemi ukweli). Waulize marefarii na wengineo.

Mfano:hivi unaposikia 'misumari' miongoni mwa wachezaji huwa unahisi ni kitu gani hicho? au unadhani haipo?
 
Acha ubishi "Utomaso"...........

Sasa mlimleta wa nini baada ya Patrick kuondoka kama Paka wapo? Acha mambo yako ya kuamini ushirikina......mbona hamfiki final kama mnajua ushirikina zaidi kuliko ufundi?
Mimi ni nani hata nisiamini kwamba ushirikina upo ikiwa Qur'an,Biblia na karibia vitabu vyote vya dini vinatambua uwepo wake? Kwahiyo soccer ni exceptional sana hata uchawi usiwemo ndani yake?

Eti unauliza kwanini sasa hatufiki fainali? Issue ni kwamba tunazidiwa vitu vingi:vipaji vya wachezaji,mbinu,mipango,uwezo wa kifedha,na ushirikina pia (huu ni catalyst tu) . Au unafikiri hao Al Ahly, TP Mazembe n.k wao wahayajui hayo na hawayafanyi?
 
Bwege ni yule mzazi wako wa kike aliyekuzaa.

Yaani uchawi uwepo kwenye nyanja nyingine za maisha ila kwenye soka ndo usiwepo? What makes soccer exceptional?

Sijasema kwamba uchawi pekee unaweza kuibeba timu,hapana! Lazima viwepo vitu vingine vitakavyo combine na uchawi ili kuleta matokeo. Sasa hayo maeneo unayoyataja wanaweza kuwa wanakosa hivyo 'vitu vingine'.

Waulize wachezaji wenyewe kisiri siri watakwambia (achana na zile interviews zao ambazo huwa hawausemi ukweli). Waulize marefarii na wengineo.

Mfano:hivi unaposikia 'misumari' miongoni mwa wachezaji huwa unahisi ni kitu gani hicho? au unadhani haipo?
watoto wa jk brn hawawez kukuelewa
 
Back
Top Bottom