Kocha Mkuu Sven Ven Der Broeck aachana na Simba SC

PAKA FC wako vizuri sana
 
Kama alimsajiri Mugalu na Lwanga na Morrison, basi ni vema aondoke. Anasajirije watalii ?
 
Sasa swali kwako braza mbona tukienda weldi kapu hizi mdumba hazitusaidii...tupe ufafanuzi hapo maana ilitakkwa africa ndio tuwe na makombe ya dunia kama yote
 
Kwa habari zilizotufikia iv punde za ndani kabsa sven amepata dili nono sana kutoka raja Casablanca
 
Unawaza upumbavu tu ndo,ujinga mtupu ,TP Mazembe walishuka Kongwe kutokana na kukosa kibali cha kushukia JKNIA
 
Sasa huko Israel na Saudi Arabia kulikotokea Quran na biblia hawana lolote kwenye soka
 

Hivyo watz tumefikia kiwango cha chini kiasi hiki cha kufikiri? Ndumba, ndumba, ndumba!
 
Klabu ya soka ya Al-Ahly cairo ya huko nchini Misri katikati ya msimu uliopita wa ligi kuu ya kwao na pamoja na msimu wa klabu bingwa Afrika uliopita walisitisha mkataba na kocha wao Rene Weiler raia wa Switzerland ambaye aliipatia klabu yao mafanikio makubwa....wakasaini kandarasi mpya na kocha raia wa Afrika ya kusini Mosimane Pitso John ambaye kiukweli amekuwa bora zaidi ukimlinganisha na kocha aliyemtangulia kwa kuiwezesha klabu ya Al-Ahly kutwaa mataji karibu yote ya mashindano ya soka huko nchini kwao Misri plus ubingwa wa CAF champion league msimu uliopita....hivyo siyo jambo la kushangaza sana kuona Klabu inasitisha mkataba na kocha aliyeipatia klabu mafanikio katikati ya msimu...tuwe na subira tukisubiri ujio wa kocha mpya tukiamini atakuwa bora zaidi ya Sven
 
Ndo maana serikali inasisitiza matumizi ya condom. Kama condom ingetumika leo hii kusingeandikwa utopolo kama huu. 😁
 
Ngumu sana kufuatilia mpira wa bongo.

Yaani jana nashangaa jinsi Simba inavyoperform uwanjani eti leo wametimua kocha.

Klabu ipo kwenye mashindano, unaleta kocha mwingine aanze kutengeneza falsafa zake huku timu ipo mashindanoni.

Ni akili kweli?
 
Ngumu sana kufuatilia mpira wa bongo.

Yaani jana nashangaa jinsi Simba inavyoperform uwanjani eti leo wametimua kocha.

Klabu ipo kwenye mashindano, unaleta kocha mwingine aanze kutengeneza falsafa zake huku timu ipo mashindanoni.

Ni akili kweli?

Inategemea na vigezo vilivyotumika kuacha naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…