Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kikitoka kitu kinaingia kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanaamini uchawi kama Utopolo nchi hii?Kishingo hataki uchawi , viongozi wanautaka
Huo uchawi Taifa starz na Yanga hawaujui?We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana...
Vipi kombe la dunia mbona timu za Africa huwa zinagaragazwa vibaya?Mpira ni uwekezaji kwenye vipaji na sio hizo ndumba mnazozifikiria wadanganyika!We unaona alikuwa na msaada? hakuwa na plan B timu inapoelemewa. Na lile li-formation lake la striker 1 ilikuwa inaboa sana...
Uchawi hauchezi ndugu.. ingekuwa hivyo hata hao Al Ahly na TP Mazembe wasingekuwa wanatumia pesa ndefu kusajili.Kwahiyo we unafikiri hao Wakongo hawafanyi hayo mambo? Mazembe walijiandaa kwa figisu zote;zinazoonekana na zisizoonekana. Ulijiuliza ni kwanini TP Mazembe waliamua kushukia uwanja wa ndege wa Songwe badala ya JKNIA, KIA au Mwanza Airport? Au unafikiri waliamua tu?..
Huyo jamaa anaongea ujinga tupu.. Au babu yake kilinge kimekosa wateja?Unawaza upumbavu tu ndo,ujinga mtupu ,TP Mazembe walishuka Kongwe kutokana na kukosa kibali cha kushukia JKNIA
Hoja ndio hii mkuu, hata mimi nilifikiri aendelee kulingana na hatua aliyofikia.Ngumu sana kufuatilia mpira wa bongo.
Yaani jana nashangaa jinsi Simba inavyoperform uwanjani eti leo wametimua kocha.
Klabu ipo kwenye mashindano, unaleta kocha mwingine aanze kutengeneza falsafa zake huku timu ipo mashindanoni.
Ni akili kweli?
Kocha haogopi kufukuzwa sababu hawezi kudumu.. ni kama (kifo)Amenusa hatari mbele kaamua kusepa mapemaaa, hataki lawama.
Wakiwekwa benchi hao timu haishindi? Wazungu wanakuambia never change a winning team. Kila mchezaji kanunuliwa kwa wakati tofauti, sasa yupi unataka akae benchi? Cha muhimu ni matokeo mbona hata huko ulaya akina bale, hazard, Mendy wa man city walionunuliwa kwa mahela mengi wanawekwa benchi .Kuwaweka bench akina kahata, kagere, ajibu na nk ni kutokuwa na huruma na club na wachezaji wenyewe, club imeingia gharama kubwa ya kuwapata unaua vipaji vyao.
Analijua soka la Afrika vzr.. huku sio BELGIUMItakuwa ameamua kukwepa aibu za zaidi, badala ya kupanga kikosi cha kucheza, anapangiwa kikosi ambacho ni nyau watupu.
Kila timu inao wachezaji tegemeo kwenye timu mkuu.. labda useme mbinuSikuwahi kumwamini huyu kocha hata chembe. Mbinu zake ni za hovyo kinachomsaidis ni uwezo wa wachezaji mmoja mmoja kama Chama au mikison.
Ni bora ubaki na Matola kushinda huyo jamaa Van da nini sijui.
I never trusted this guy
Wangewapulizia na Ruvu sasa au PrisonKwahiyo we unafikiri hao Wakongo hawafanyi hayo mambo? Mazembe walijiandaa kwa figisu zote;zinazoonekana na zisizoonekana. Ulijiuliza ni kwanini TP Mazembe waliamua kushukia uwanja wa ndege wa Songwe badala ya JKNIA, KIA au Mwanza Airport? Au unafikiri waliamua tu?...
Bado unaamini ni tetesi?Tetesi za bongo 70% huwa Ni uongo mtupu!!