Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Kwa kizazi hiki sijaona kama messi..

Kwa kuufatilia mpira, nimeona pele ni bora zaidi.
Anaemuita messi ni mbuzi simpingi kwangu naamini pele ndio mbuzi
Pelle katafutiwa namna sana kudhoofishwa awe chini ya Weupe sababu ni Mniga, ila kiukweli hayupo wa kumfikia Pelle kiubora katika soka.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Pelle katafutiwa namna sana kudhoofishwa awe chini ya Weupe sababu ni Mniga, ila kiukweli hayupo wa kumifikia Pelle kiubora katika soka.

Alikuwa fundi saana, halafu kacheza kipindi kibaya saana, viwanja, bado faulo zilikuwa nzito mnoo, world cup 66 alikutana na daluga za kibabe toka kwa ureno ya kina eusebio.

Viatu vyao sasa sijui vilikuwa kilo ngapi vile.. 😂
 
Obi kasema a week wanatrain namna yakumzuia Simba Messi lkn Man U Ashley anapewa jukumu amzuie CR7... Lakini ujue Ile inabaki kwamba Mimi nakubali zaidi nani ,uhalisia CR7 nae alikua Soo wakupewa 1v1.
Alijisemea Obi mikel kwamba wakati tunaenda kucheza na Madrid maelekezo ya kumkaba Ronaldo alikuwa anapewa Ashley lakin tulipokuwa tunaenda kucheza na Barcelona siku nzima timu nzima tulikuwa tunatrain namna ya kumzuia LA PULGA, simply the best hatari sanaaaaa
 
Hapa hatuangalii jina la mtu,

Weka mafanikio yake
Na Messi weka mafanikio yake
Mpira sio kufunga magoli tu, kuna mengine nje ya kufunga, kwa mfano ikitokea siku hiyo magoli hakuna mnafurahia kipi kwenye mpira kutoka kwa LM10 na CR7?.

Huenda ninabishana na kizazi kilichoanza kuangalia mpira enzi za Messi na Cristiano.
 
Nadhani wewe sio mwanampira, umekariri "old is gold" Messi hata asipofunga unafurahia anavyocheza

Huyo gaucho mbali na kupiga kanzu, kipi kingine cha maana!! Chenga hamfikii hata robo Messi na Maradona

So, acha kukariri
 
Pelle katafutiwa namna sana kudhoofishwa awe chini ya Weupe sababu ni Mniga, ila kiukweli hayupo wa kumifikia Pelle kiubora katika soka.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Wabongo bwana, Unaongea kwa kudhania!

Mbali na vikombe vya dunia, nini kingine cha maana alichokifanya kumzidi Messi mwenye kombe la dunia la vijana na wakubwa+copa America and finallisima? Weka ushabiki pembeni twende na facts

Ukimaliza kwa messi, njoo uweke mafanikio yake dhidi ya Dona na cr7
 
Balloon d'o ni biashara zao tu hao Weupe mbali na hapo mpira huchezwa dhahiri uwanjani na kila Mtu huona, ndiyomaana tuzo hii ya 2023 na 2021 Messi alikiri hakustahili zaidi ya Lewandowski na Haaland.

Pia 2010 Messi hakustahili kabisa, hujiulizi kwanini tuzo za Messi tu ndizo lazima zilalamikiwe na si za Wachezaji wengine?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Unateseka sana na Messi, utapata presha bure!
 
Alijisemea Obi mikel kwamba wakati tunaenda kucheza na Madrid maelekezo ya kumkaba Ronaldo alikuwa anapewa Ashley lakin tulipokuwa tunaenda kucheza na Barcelona siku nzima timu nzima tulikuwa tunatrain namna ya kumzuia LA PULGA, simply the best hatari sanaaaaa
Lionel Messi's skills that includes his magical dribbling ability has left fans in awe. Lionel Messi might well be the greatest dribbler that football world has ever seen.
 
Balloon d'o ni biashara zao tu hao Weupe mbali na hapo mpira huchezwa dhahiri uwanjani na kila Mtu huona, ndiyomaana tuzo hii ya 2023 na 2021 Messi alikiri hakustahili zaidi ya Lewandowski na Haaland.

Pia 2010 Messi hakustahili kabisa, hujiulizi kwanini tuzo za Messi tu ndizo lazima zilalamikiwe na si za Wachezaji wengine?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unajua lakini jinsi mshindi wa Balon d'Or anavyapatikana?

Kama una amini ni biashara,kwanini hiyo biashara wasifanye na CR7?
 
Mpira sio kufunga magoli tu, kuna mengine nje ya kufunga, kwa mfano ikitokea siku hiyo magoli hakuna mnafurahia kipi kwenye mpira kutoka kwa LM10 na CR7?.

Huenda ninabishana na kizazi kilichoanza kuangalia mpira enzi za Messi na Cristiano.
Lionel Messi's skills that includes his magical dribbling ability has left fans in awe. Lionel Messi might well be the greatest dribbler that football world has ever seen.

Kwa skills ni nani anamfikia Messi? Tokea 2006 hadi 2023 ni nani wa kumfikia Messi? Hebu weka statistics zako hapa acha maneno mengi mzee
 
Back
Top Bottom