Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Pelle katafutiwa namna sana kudhoofishwa awe chini ya Weupe sababu ni Mniga, ila kiukweli hayupo wa kumfikia Pelle kiubora katika soka.Kwa kizazi hiki sijaona kama messi..
Kwa kuufatilia mpira, nimeona pele ni bora zaidi.
Anaemuita messi ni mbuzi simpingi kwangu naamini pele ndio mbuzi
Messi ni bora kuliko viumbe wote huyo Gaucho ni mdudu gani.Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.
Alikuwa fundi saana, halafu kacheza kipindi kibaya saana, viwanja, bado faulo zilikuwa nzito mnoo, world cup 66 alikutana na daluga za kibabe toka kwa ureno ya kina eusebio.Pelle katafutiwa namna sana kudhoofishwa awe chini ya Weupe sababu ni Mniga, ila kiukweli hayupo wa kumifikia Pelle kiubora katika soka.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Alijisemea Obi mikel kwamba wakati tunaenda kucheza na Madrid maelekezo ya kumkaba Ronaldo alikuwa anapewa Ashley lakin tulipokuwa tunaenda kucheza na Barcelona siku nzima timu nzima tulikuwa tunatrain namna ya kumzuia LA PULGA, simply the best hatari sanaaaaa
Timu kishingo hii hawatakubali [emoji1][emoji1][emoji1]CR7 anaujua mpira, Lakini Mpira wenyewe unamjua LM
Mpira sio kufunga magoli tu, kuna mengine nje ya kufunga, kwa mfano ikitokea siku hiyo magoli hakuna mnafurahia kipi kwenye mpira kutoka kwa LM10 na CR7?.Hapa hatuangalii jina la mtu,
Weka mafanikio yake
Na Messi weka mafanikio yake
Mzee kwa hili unaujua mpiraCR7 anaujua mpira, Lakini Mpira wenyewe unamjua LM
Dinho Gaucho alikuwa fundi sana.Tupo wengi sana kwa hicho kifaa, achana na akina Andunje wanaojifariji hawa, Ronaldinho alikuwa zaidi ya akina Messi na Ronaldo katika kuonesha ladha ya soka ilivyo na inavyopaswa kuwa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mpira sio kufunga magoli tu, kuna mengine nje ya kufunga, kwa mfano ikitokea siku hiyo magoli hakuna mnafurahia kipi kwenye mpira kutoka kwa LM10 na CR7?.
Huenda ninabishana na kizazi kilichoanza kuangalia mpira enzi za Messi na Cristiano.
Pelle katafutiwa namna sana kudhoofishwa awe chini ya Weupe sababu ni Mniga, ila kiukweli hayupo wa kumifikia Pelle kiubora katika soka.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tupo wengi sana kwa hicho kifaa, achana na akina Andunje wanaojifariji hawa, Ronaldinho alikuwa zaidi ya akina Messi na Ronaldo katika kuonesha ladha ya soka ilivyo na inavyopaswa kuwa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Balloon d'o ni biashara zao tu hao Weupe mbali na hapo mpira huchezwa dhahiri uwanjani na kila Mtu huona, ndiyomaana tuzo hii ya 2023 na 2021 Messi alikiri hakustahili zaidi ya Lewandowski na Haaland.
Pia 2010 Messi hakustahili kabisa, hujiulizi kwanini tuzo za Messi tu ndizo lazima zilalamikiwe na si za Wachezaji wengine?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Lionel Messi's skills that includes his magical dribbling ability has left fans in awe. Lionel Messi might well be the greatest dribbler that football world has ever seen.Alijisemea Obi mikel kwamba wakati tunaenda kucheza na Madrid maelekezo ya kumkaba Ronaldo alikuwa anapewa Ashley lakin tulipokuwa tunaenda kucheza na Barcelona siku nzima timu nzima tulikuwa tunatrain namna ya kumzuia LA PULGA, simply the best hatari sanaaaaa
Unajua lakini jinsi mshindi wa Balon d'Or anavyapatikana?Balloon d'o ni biashara zao tu hao Weupe mbali na hapo mpira huchezwa dhahiri uwanjani na kila Mtu huona, ndiyomaana tuzo hii ya 2023 na 2021 Messi alikiri hakustahili zaidi ya Lewandowski na Haaland.
Pia 2010 Messi hakustahili kabisa, hujiulizi kwanini tuzo za Messi tu ndizo lazima zilalamikiwe na si za Wachezaji wengine?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Lionel Messi's skills that includes his magical dribbling ability has left fans in awe. Lionel Messi might well be the greatest dribbler that football world has ever seen.Mpira sio kufunga magoli tu, kuna mengine nje ya kufunga, kwa mfano ikitokea siku hiyo magoli hakuna mnafurahia kipi kwenye mpira kutoka kwa LM10 na CR7?.
Huenda ninabishana na kizazi kilichoanza kuangalia mpira enzi za Messi na Cristiano.
Unajua lakini jinsi mshindi wa Balon d'Or anavyapatikana?
Kama una amini ni biashara,kwanini hiyo biashara wasifanye na CR7?
Messi ni bora kuliko viumbe wote huyo Gaucho
Kujua mpira! Sio mafanikioHapa hatuangalii jina la mtu,
Weka mafanikio yake
Na Messi weka mafanikio yake
Kujua mpira! Sio mafanikio