joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
La PULGA
Messi anatoka sayari nyingine. Watu wanajitahidi kumlinganisha lakini wanachoka wenyewe. Walibaki kumlinganisha na Ronaldo sasa wamekata tamaa maana Ronaldo hana kombe la dunia km akina Kibu Denis tu.Sijajua wanachoangalia ni vyenga au kanzu 😄 wakati Messi is completed player
Huyo Ronaldo hata kombe la dunia hana yaani hana tofauti na akina Ramadhani Singano.Unajua lakini jinsi mshindi wa Balon d'Or anavyapatikana?
Kama una amini ni biashara,kwanini hiyo biashara wasifanye na CR7?
Lionel Messi's skills that includes his magical dribbling ability has left fans in awe. Lionel Messi might well be the greatest dribbler that football world has ever seen.
Lionel Messi's skills that includes his magical dribbling ability has left fans in awe. Lionel Messi might well be the greatest dribbler that football world has ever seen.
Kwa skills ni nani anamfikia Messi? Tokea 2006 hadi 2023 ni nani wa kumfikia Messi? Hebu weka statistics zako hapa acha maneno mengi mzee
Sijajua wanachoangalia ni vyenga au kanzu [emoji1] wakati Messi is completed player
Boateng na Zlatan walikuwa wanatoa ushauri kwa vijana kama wanataka kuwa bora wamtizame CR7 kama mchezo wa mfano kwa kujituma na kufanya mazoezi sana kwani Messi ni mchezaji wa sayari nyingine kabisa.
Skills+Dribbling+Asissting+Playmaking +Scoring = MessiKocha wa Argentina amesema ukimwangalia mazoezi yake anayofanya na kitu anachofanya uwanjani ni tofauti jamaa ni hatari, uliza kina Macalister, Enzo Fernandez, Di Maria watakwambia mipango ya mpira ya yule bwana mkubwa ni hatari sana, watu wameanza kubisha toka 2010 mhuni yupo kwenye peak miaka 13 mfululizo, ni kutiaga kamba za kila aina , yan hadi magoli ya penati passi anatoa aloo acha kabisa
Skills+Dribbling+Asissting+Playmaking +Scoring = Messi
Hayupo mchezaji anaye yafanya hayo yote kwa usahihi kama Messi.
Skills+Dribbling+Asissting+Playmaking +Scoring = Messi
Hayupo mchezaji anaye yafanya hayo yote kwa usahihi kama Messi.
Wazee muwe mnapumzika nyumbani kulea wajukuu!Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.
Mess kawafanya mbaya sana tim CR7, hasa zile balandoo zake. kafunga kabisa ule mjadala nan ni bora kati yao. sasa mmeanza kujificha kwa akina Dinyo.[emoji23]......na mkikaa vibaya anaweza chukua tena had zifike 10Tupo wengi sana kwa hicho kifaa, achana na akina Andunje wanaojifariji hawa, Ronaldinho alikuwa zaidi ya akina Messi na Ronaldo katika kuonesha ladha ya soka ilivyo na inavyopaswa kuwa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huyo rafiki yako ni mfano wa watanzania wengi wajinga, ambao wanaishia kupata msongo wa mawazo kwa sababu wanaamini katika utimu tu kwa kila jambo.Nakumbuka mwaka 2012 nlikuwa na jamaangu tunabishana kuhusu Messi na Ronaldo, jamaa alikuwa mbishi sana jamaa mshabiki wa Man United, ilivyofika 2015 kuna siku tulikuwa tunaangalia game ya barcelona alinifuata kisiri siri akaniambia kichini chini jamaa zake wasisikie “Ujue me nlikuwa timu Ronaldo ila kwa mabalaa anayofanya huyu mtoto Messi me nimehama ila usiwaambie wana” nlicheka vibaya mno, Messi sio mchezo anaesema Messi ni kawaida we muulize tu nan kaupiga mwingi kuliko messi alafu mwende kwenye data sasa, manake mpira sio maneno mdomoni mpira ni numbers
Kujaribu kumfananisha Messi na Haaland asiyeweza hata kupiga chenga moja si tu ni kumdhalilisha Messi, bali ni kulidhalilisha soka lenyewe.Hii dunia Haijawah kuwa na mchezaji kama Messi, lile jini, mwaka jana Pep aliulizwa kuhusu kumfananisha eti Halland na Messi, pep akasema kwenye career yake yakufundisha mpira hajawah kumfundisha mchezaji talented kama Messi, akamwambia halland boli unapiga mwanangu ila wanaokufananisha na Messi wanakudanganya..
Mwamba alikuwa hatari sana. Very very very talented!2022 world cup messi alikuwa alien hakuwa binadamu wa kawaida, alikuwa na kiwango cha juu sana, kuanzia kiufundi mpaka kimatokeo, ulikuwa ni mwaka wake wa kubeba maana uwezo na bahati vyote vilikuwa upande wake, alinishangaza jinsi alivyokuwa anakiwasha kwa umri ule, ni GOAT kwa kweli
Mtake radhi CR7, huwezi kumfananisha na Haaland.Kama unautimamu wa akili kusema mesi na cr7 nani zaidi ni matumizi mabaya ya akili.
Mesi ni kipaji kilichoshushwa duniani, cr7 ni juhudi binafsi kama wakina halaand