joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona mara kibao,wachezaji wanapokea tuzo wanaongea maneno kama hayo,wakina Zizu walikuwa wanachukua ila anatoa shukrani still ana muacknowledge De Lima. Kaka anachukua tuzo still bado ana muacknowledge Gerrard.Fatilia alipokuwa akipokea tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 alichoongea akiwa na wapinzani hao mbele ya jopo la Watu mbali mbali.
Google itakurahisishia majibu mubashara kabisa
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huo ndio mpira ( mchezo wa kugusana ) kama hutaki watu wagusane kashabikie tennis .... Ukimgusa mwenzio vibaya penalty ukishika penalty .2022 Kombe la dunia lililokosa ladha tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Timu 1 inapewa penati 6 hadi inaingia fainali, kama si mipango ili timu Andunje ibebe kombe la dunia ni nini haswa [emoji848][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mihemuko ndiyo ipo hapo kwenye Ballon D'Or kwa miaka hii 10 iliyopita kibiashara zaidi kama ulikuwa hujui stuka sasa.Huo ndio mpira ( mchezo wa kugusana ) kama hutaki watu wagusane kashabikie tennis .... Ukimgusa mwenzio vibaya penalty ukishika penalty .
Nikuulize swali> penalty gani haikua ya halali ?? Au unataka penalty zitolewe mpaka mtu akatike shingo au mguu? .. hata penalt 100 zinaeza kutolewa kama madhambi yanatendeka ...
Nilifikiri utasema kuna penalty siyo ya halali kumbe unaongelea idadi ya penalty za halali . Mpira unaongozwa kwa sheria siyo mihemko
Ya 1998 ulichukua wewe ??Zizou hajawahi kuchukua Balloon D'Or usinilishe matango pori
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hapo nimekubali maana kichwa pia hakiwezi kukumbuka vitu vyote papo kwa hapo lazima kichemke.Ya 1998 ulichukua wewe ??
Kweli wewe mgonjwa hahahahah
Kwa jinsi hiyo kichwa inavyo tokota hukawii kusema cr7 kabeba kombe la dunia ..Hapo nimekubali maana kichwa pia hakiwezi kukumbuka vitu vyote papo kwa hapo lazima kichemke.
Tambua najadiliana na Waswahili hapa JF kwenye platforms mbali mbali, sawa we pimbi [emoji848][emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe wamekunufaisha kipi haswa kimaisha hao akina Andunje kubeba kwao kombe la dunia?Kwa jinsi hiyo kichwa inavyo tokota hukawii kusema cr7 kabeba kombe la dunia ..
KAMA MCHEZAJI UNAE MSHABIKIA NA UNAE MUONA BORA, KAMA HANA KOMBE LA DUNIA HUYO HANA TOFAUTI NA KIBU DENIS.. maana wote hawajabeba kombe la dunia
Kipi bora katika haya maisha zaidi ya FURAHA ??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] UMIA KIMYA KIMYAWewe wamekunufaisha kipi haswa kimaisha hao akina Andunje kubeba kwao kombe la dunia?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Furaha yako kwa wengine ni UPUMBAVUKipi bora katika haya maisha zaidi ya FURAHA ??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] UMIA KIMYA KIMYA
Na wao pia furaha yao kwangu ni upumbavu tuu ..
Hapo kesi imeisha...................Na wao pia furaha yao kwangu ni upumbavu tuu ..
Cha muhimu kila mtu ajitafutie furaha yake .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alvyoongea tunaita ni kuwa humble. Messi si mjivuni kama Ronaldo kusifia washindani wake ipo kwenye damuFatilia alipokuwa akipokea tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 alichoongea akiwa na wapinzani hao mbele ya jopo la Watu mbali mbali.
Google itakurahisishia majibu mubashara kabisa
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hakuna asiye mjivuni hata aliyekuumba anataka umpe sifa "umsifie" tusidanganyane Chifu.Alvyoongea tunaita ni kuwa humble. Messi si mjivuni kama Ronaldo kusifia washindani wake ipo kwenye damu
2022 Kombe la dunia lililokosa ladha tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Timu 1 inapewa penati 6 hadi inaingia fainali, kama si mipango ili timu Andunje ibebe kombe la dunia ni nini haswa [emoji848][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Alvyoongea tunaita ni kuwa humble. Messi si mjivuni kama Ronaldo kusifia washindani wake ipo kwenye damu
Messi na washabiki zake ni vikojozi
Ni vile tu pesa kipindi chake haikuwa na thamani kama sasa ila Gaucho alipaswa kuwa tajiri kuwazidi wote hao mzee wa tabasam hata umkwatue kiatu ye ni [emoji16]
Messi wa miaka mitano nyuma si Messi huyu wa 2023, mpira huchezwa hadharani na tunaona kabisa jinsi alivyoshuka ubora wa soka.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Messi is naturally shy and humble.Hakuna asiye mjivuni hata aliyekuumba anataka umpe sifa "umsifie" tusidanganyane Chifu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe Messi anakujua hadi uamue kuwa msemaji wangu?Messi is naturally shy and humble.
Nje ya mada, inaonekana mkuu Messi kuchukua world cup na Ballon d'or ya 8 umeumia sana