Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Fatilia alipokuwa akipokea tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 alichoongea akiwa na wapinzani hao mbele ya jopo la Watu mbali mbali.

Google itakurahisishia majibu mubashara kabisa

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona mara kibao,wachezaji wanapokea tuzo wanaongea maneno kama hayo,wakina Zizu walikuwa wanachukua ila anatoa shukrani still ana muacknowledge De Lima. Kaka anachukua tuzo still bado ana muacknowledge Gerrard.
 
2022 Kombe la dunia lililokosa ladha tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Timu 1 inapewa penati 6 hadi inaingia fainali, kama si mipango ili timu Andunje ibebe kombe la dunia ni nini haswa [emoji848][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huo ndio mpira ( mchezo wa kugusana ) kama hutaki watu wagusane kashabikie tennis .... Ukimgusa mwenzio vibaya penalty ukishika penalty .

Nikuulize swali> penalty gani haikua ya halali ?? Au unataka penalty zitolewe mpaka mtu akatike shingo au mguu? .. hata penalt 100 zinaeza kutolewa kama madhambi yanatendeka ...

Nilifikiri utasema kuna penalty siyo ya halali kumbe unaongelea idadi ya penalty za halali . Mpira unaongozwa kwa sheria siyo mihemko
 
Mihemuko ndiyo ipo hapo kwenye Ballon D'Or kwa miaka hii 10 iliyopita kibiashara zaidi kama ulikuwa hujui stuka sasa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hapo nimekubali maana kichwa pia hakiwezi kukumbuka vitu vyote papo kwa hapo lazima kichemke.

Tambua najadiliana na Waswahili hapa JF kwenye platforms mbali mbali, sawa we pimbi [emoji848][emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa jinsi hiyo kichwa inavyo tokota hukawii kusema cr7 kabeba kombe la dunia ..

KAMA MCHEZAJI UNAE MSHABIKIA NA UNAE MUONA BORA, KAMA HANA KOMBE LA DUNIA HUYO HANA TOFAUTI NA KIBU DENIS.. maana wote hawajabeba kombe la dunia
 
Wewe wamekunufaisha kipi haswa kimaisha hao akina Andunje kubeba kwao kombe la dunia?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
2022 Kombe la dunia lililokosa ladha tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Timu 1 inapewa penati 6 hadi inaingia fainali, kama si mipango ili timu Andunje ibebe kombe la dunia ni nini haswa [emoji848][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Lilikosa ladha kwako wewe mshabiki wa mahaba niuwe, ila kwa mwanampira lilikua na ladha yake, tena sio kidogo.

For me, 1998 france and 2022 Argentina are the best final ever.....
 
Ni vile tu pesa kipindi chake haikuwa na thamani kama sasa ila Gaucho alipaswa kuwa tajiri kuwazidi wote hao mzee wa tabasam hata umkwatue kiatu ye ni [emoji16]

Acha kumpambaa 😄 Hajui mpira yule, anajua kuruka ruka tu na kupoteza muda uwanjani, ni kama ndugu yake tu neymar.
 
Messi wa miaka mitano nyuma si Messi huyu wa 2023, mpira huchezwa hadharani na tunaona kabisa jinsi alivyoshuka ubora wa soka.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Anazeheka na utamu wake, ulimwangalia sana final za world cup, copa America, finallisima akikichafua, unalijua vizuri hilo, ila umetokea kumchukia tuu. Na utaumia sana, ni bora uachane na mpira tu kamanda
 
Back
Top Bottom