joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona mara kibao,wachezaji wanapokea tuzo wanaongea maneno kama hayo,wakina Zizu walikuwa wanachukua ila anatoa shukrani still ana muacknowledge De Lima. Kaka anachukua tuzo still bado ana muacknowledge Gerrard.Fatilia alipokuwa akipokea tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 alichoongea akiwa na wapinzani hao mbele ya jopo la Watu mbali mbali.
Google itakurahisishia majibu mubashara kabisa
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app