Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
3246628080854876078.jpg.png
Screenshot_20231129-121851_Instagram.jpg
 
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiumbe kama huyu kwenye soka.
Weupe waliomfanyia programs za kumpata wakiamua wanaweza, kwani hujui kuwa alichomwa sindano za kuongeza urefu wa kimo, je hizo sindano zilihakikiwa na nani kama hazikuwa na vinasaba vyovyote vya dawa za kuongeza nguvu mwilini mbali na kipaji tu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.
Tupo wengi sana kwa hicho kifaa, achana na akina Andunje wanaojifariji hawa, Ronaldinho alikuwa zaidi ya akina Messi na Ronaldo katika kuonesha ladha ya soka ilivyo na inavyopaswa kuwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Anzisha mada yako, kumfananisha gaucho na mwenye mpira wake, na ballon d ore 8 ni kumvunjia heshima

Kwahiyo unataka kusema Gaucho ni zaidi ya Zidane?
Balloon d'o ni biashara zao tu hao Weupe mbali na hapo mpira huchezwa dhahiri uwanjani na kila Mtu huona, ndiyomaana tuzo hii ya 2023 na 2021 Messi alikiri hakustahili zaidi ya Lewandowski na Haaland.


Pia 2010 Messi hakustahili kabisa, hujiulizi kwanini tuzo za Messi tu ndizo lazima zilalamikiwe na si za Wachezaji wengine?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom