Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

Nabi ni kocha bora kuwahi kutokea Tanzania. Yanga tuweke ushabiki pembeni tuvunje kabati abaki tuendelee kupata raha ya makombe na kuipasua Simba!
 
Kocha Bora au bahasha za kaki za injinia ndo zimesaidia.
Hamna kocha humo
Nabi ni kocha bora kuwahi kutokea Tanzania. Yanga tuweke ushabiki pembeni tuvunje kabati abaki tuendelee kupata raha ya makombe na kuipasua Simba!
 
Bila yeye ile mechi na coastal vinyesi vingekuwa kwenye chupi,ile sub ya kumtoa mwamnyeto na hakuna aliyemuelewa mpaka yule dogo alipofunga goli,tukubali tu huyu kocha ni wa viwango haeezi kukaa nchi yenye figisu na viwanja vibovu
Na kawabonda sana mnatamani aondoke
 
Yule wa CRDB Leo,kasema anawakaribisha Yanga badala ya Simba.Kila wakikaa Yanga inawakereketa Sana.
 
Bila yeye ile mechi na coastal vinyesi vingekuwa kwenye chupi,ile sub ya kumtoa mwamnyeto na hakuna aliyemuelewa mpaka yule dogo alipofunga goli,tukubali tu huyu kocha ni wa viwango haeezi kukaa nchi yenye figisu na viwanja vibovu
Sawa ndugu walesi Kaalia
 
Yaani ..we acha tu. ..!

Kuna MTU aliandika SBB 7 Kwanini Yanga Hawana furaha Japo ndo mabingwa.

Hii nayo inaongezeka SBB Ya 8.. hapo ondoa Ile Ya kujinyea kwenye CHUPI...!
 
Nabi ni kocha bora kuwahi kutokea Tanzania. Yanga tuweke ushabiki pembeni tuvunje kabati abaki tuendelee kupata raha ya makombe na kuipasua Simba!
Sema huko utopolo. Usijumlishe tz yote kwa maana kuba makocha wamezipeleka timu kimataifa ila yeye hakuba kitu kafanya kimataifa
 
Back
Top Bottom