Kocha Mwinyi Zahera aachia ngazi Yanga. Mkwasa kuinoa kwa muda

Hivi huyu zahera hawadai yanga kweli??
Maana kuna kipindi nilisikia wanamsifia kuwa anatoa hadi pesa zake kuisapoti yanga.
 
Umesoma ulichoandika hapo? Mbona unajichanganya..Kwangu nilitaka abaki ili ashuhudie ubigwa wa back to back ikiendelea..!NguvuMoja
Mikia wako busy sana na suala la Zahera.

Ubovu wa Zahera presumably ni faida kwa 5imba na bila shaka wangeomba sana aendelee kuwepo ili wanufaike. Sasa ajabu eti Mikia wanataka Zahera ang'oke. Ili iweje? Arusi Hans Pluijm na kampa tena?
 
Yanga siku nyingine muwe mnaiga ukomavu wa Simba. Maana Simba ilifungwa 5:0 na waarabu wala haikufukuza kocha. Pia mwaka huu tuliaminishwa kuwa Simba itatinga tena Group stage ya CAF na ikaishia round ya awali na wala haikufukuza Kocha. Pia Simba imefungwa na Mwadui wala hakuna anaemtukana Kocha. Yanga kuna kitu mnapaswa kujifunza.
 
Hapa wame kurupuka, Ben mwalala Ana mafanikio gani makubwa. Sijui ngoja tuone yanga ikiwa bingwa wa acl. Timu zote za East Africa zimetoka hivyo nilitegemea tupate kocha labda nje ya hapo.
Sasa ni rasmi zahera out
 
Hapa wame kurupuka, Ben mwalala Ana mafanikio gani makubwa. Sijui ngoja tuone yanga ikiwa bingwa wa acl. Timu zote za East Africa zimetoka hivyo nilitegemea tupate kocha labda nje ya hapo.
Huyu mliyempatia timu ya Taiga alikuwa na mafanikio gani huko alikopita?
 
Hivi huyu Mwalala naye timu yake si ietolewa na (sina uhakika) kafukuzwa baada ya kutolewa!?
Mwinyi amekuwa anaongea sana lakini tofauti yake na Julio yeye anaongea ukweli na sio porojo, wangetumia ukweli huu kujenga future ya timu lakini ndio badoo wako na mawazo ya enzi za akina Mzimba na Gulamali!
 
Timu ya Young Africans Sports Club imemtimua Kocha wao Mwinyi Zahera na nafasi yake kuchukuliwa na Kocha "Beni Mwalala" kutokea Bandari Fc ya Kenya anachukua nafasi yake Kuinoa Timu ya Wananchi

Weka comment yako hapa Umeafiki Zahera kuondolewa au Viongozi wamekurupuka

Sports Arena

#Balaaaziiitoooo
 
Hahaha hahahahahahahahaha iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! Hahahahaha aiseeee hahaha uwiiiiiiii hahahahahahahahaha gongowazi mnatuvunja mbavu. Sasa mnamfukuza mdhamin wenu tena, iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahahahahaha hahahahahahahahaha jaman......molinga mtaweza kumlisha kwer kilo 32.6 per day huo ni ubweche achana na nyama kilo 54.1....Zahera ndo alikuwa na uwezo wa kumtunza jamaa...TANO-MOYA!!!!!!!!!!!!!!

ILA NYIE PYRAMID MUNGU ANAWAONA...MNAFANYA HADI MDHAMINI/MUWEKEZAJI WA HOHO FC ATIMULIWE KWERI!!!!!!! hahahahaha hahahahahahahahaha
 
Kichwa cha habari instakiwa kisomeke Zahera atimuliwa Yanga, na sio aachia ngazi. Kuachia ni suala la hiyari lkn ukisoma hiyo habari, ni kuwa wamemtimua.

Vv
 
Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla ametangaza Charles Boniface Mkwassa atakuwa kocha wa muda wa Yanga kuchukua jukumu la Mwinyi Zahera kwa muda wa wiki mbili.
.......
Nini maoni yako?
 
Ahueni. Tunamshukuru kwa mema yote aliyotutendea. Pia viongozi waendelee na kwa wachezaji wote wa kawaida na wasiojituma, nao wapewe mkono wa kwaheri kwenye usajili wa dirisha dogo. Hakuna namna.

Kamati ya usajili ya akina Abdallah Bin Kleb, Seif Magari na wengineo irejeshwe mara moja! maana walifanya scouting nzuri sana enzi za uongozi wao.
 
Mimi ni mmoja ya mashabiki wa Yanga niliyefurahishwa na huo uamuzi wa viongozi wetu wa timu. Kulikuwa hakuna namna. Maji yalishazidi unga. Tunamtakia maisha mema kokote atakako kwenda.

Tunamshukuru pia kwa mchango wake wa hali na mali, hasa msimu uliopita pale tulipokimbiwa na George Lwandamina na pia dhamini wetu wa timu Yusuph Manji, lakini mwisho wa siku kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili.
 
Umesoma ulichoandika hapo? Mbona unajichanganya..Kwangu nilitaka abaki ili ashuhudie ubigwa wa back to back ikiendelea..!NguvuMoja
Wenzio wanataka aondoke. Sasa kaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…