Kocha Nabi leo umepoteza point 3 muhimu kutokana na selection ya wachezaji kipindi cha kwanza

Yote ya yote Yanga kapoteza points 2, sio 3 kama ulivyoandika.
 
Yanga mlibebwa kataa kubali
 
Shukurun uwezo wa refa na kibendera kujikausha
 
mbona mashabiki wa simba wame chukia sana game ya yanga vs azam kuisha kwa sare.?,
 
Upo sahihi sanaa!YANGA kwa mpira wa jana hatutatoboa kimataifa na tunaeza kufungwa hata na wasudan tunaowaona wachovu!!Yanik Bangala arudishwe tu kucheza number sita na sio beki!uzito wa bigirimana na Aucho unasababisha beki ya yanga kushambuliwa sanaa!mzee wa kazi chafu arudi kucheza number sita
 
Uko sahihi kabisa. La kuongezea ni kwa mlinda mlango wetu Fiarra. Ikiwezekana aoewe mapumziko ya lazima. Kiukweli amekuwa akifungwa magoli ya aina ile ile tangu mechi ya fainali na Coastal kule Arusha! Ha kushangaza akianza Mshery, huoni magoli ya kizembe.

Pia beki namba 3 Joyce Lomalisa, anatakiwa aongeze bidii! Jana alikiwa ni uchochoro! Ingawa kitaalamu, sababu kubwa ilikuwa ni kukosekana kwa kiungo mkabaji aina ya Yannick Bangala.

Aucho na Bigirimana jana walipuyanga sana pale kati. Ashukuriwe Fei Toto. Hakika alikuwa ndiye shujaa wa mchezo
 
Tatizo ni benchi letu la ufundi! Mpaka kesho haliamini kama Mwamnyeto anaweza kuanzia nje, halafu pale nyuma wakacheza Bangala na Job! Labda ni kutokana na heshima yake ya unahodha.

Ila binafsi ningetamani Mwamnyeto na Diarra wapate mapumzkio ya kutosha, kwa manufaa ya timu.
 
Yanga ndiye aliyatakiwa kufungwa.kwasababu ata magoli aliyofunga Fei toto nikwasababu ya uzembe wawachezaji wa azam kumuachia acheze mwenyewe.Yanga walicheza vizuri mechi yote ila azam walicheza vizuri zaidi.Na kwa mechi ya jana inaonyesha azam ana kikosi kizuri ila konakosa muunganiko na kinachoka mapema.Kwahiyo yanga msidhani ilikua ni haki yenu kushinda wakati hata azam ni timu nzuri.
 
Achana na haya mambumbumbu huwa hayaelewi kitu na ndivyo yalivyo usiumize kichwa kuyajibu
Hivi kuna team ina mashabiki na viongozi mbumbu kushinda yanga
Team mashabiki wake wanaenda kuwapokea wageni airport inaonyesha hawana kazi za kufanya
Viongozi na benchi la ufundi wameshinda kujua idadi ya substitution na wamepigwa faini na TFF wanalalamika ndo maana hata luc aymel aliwaita manyani.
 
Vipi bila refa wa mchongo kuwabeba ungepata nguvu ya kuongea
Refa kachezesha mpira vizuri.sijaona kosa la refa labda kidogo ile faulo aliyochezewa dube ila nayo ilikua nyepesi kutoa penat kwasababu ilikua 50/50.
 
Inawezekana mpira ulitoka ila refa hakuona.ndo maana kuna washika vibendera.Hiyo penat nayo ilikua nyepesi sana ndo maana akaipeta.lazima tukumbuke refarii hawezi kuona makosa yote uwanjani kwa usahii ndo maana wenzetu ili kupunguza hiyo hali wakaweka usaidizi wa kamera(VAR).Sisi tunapata kiburi chakuongea makosa kwasababu tunaona marudio ya kamera.Ila kwajinsi nilivyoona refa alichezesha vizuri ndo maana pamoja na mechi kua na presha ila ilikua nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…