Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Mchambuzi wa mchongo

Mbona Nabi kaanza kwenye benchi
 
Umejisikiaje kumuona Nabii kwenye bench la Yanga?
Nyie si ndo mlileta porojo zenu kuwa Juma Mgunda hana vyeti na kwenye benchi atakaa Nkoma

Na nyie mmejisikiaje kumuona Kocha Mkuu Juma Mgunda akiongoza Jahazi?

Tumewaonyesha kuwa tuna uwezo mkubwa wa propaganda za kucheza na mitandao kuliko nyie yaani.
 
Mlikuwa mnajitisha wenyewe.
 
Nyie wakina nani?
 
Sisi au mwanaspoti ndio walianzisha huo uvumi?
 
Mkuu hakuna mashabiki vilaza kama wa yanga yaani wanabeba kila kitu anachoanzisha yule nguruwe pori hawachuji wala hawafikirii wanabeba kama lilivyo.
Mbumbumbu next level ficha ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…