Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Kwamba pro hana vyeti yaan bashte au kilaza na yale makelele yote ya uto au bas

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa haya mambo ya CAF kuzingatia aina vyeti ilianza msimu uliopita ambapo Nabi alikuwepo na alisimama katika michezo yote miwili dhidi ya Rivers united. Sasa ujasiri wa kusema hana vyeti stahiki mnautoa wapi?
 
We jamaa mbona unakuwa kama mtoto ambae hawezi kuchambua mambo kwa umakini?

Unaleta sababu za kwanini Nabu alikuwa kwenye benchi msimu uliopita, vipi Gomes Da Rosa ambaye aliiongoza Simba Sc kwenye michezo kadhaa ya CAF kisha baadae akakosa vigezo?

Aiseeh[emoji23]
Elewa hoja yangu. Sheria ya CAF kuzingatia aina vyeti ilianza msimu upi? Je wakati wanazingatia hiyo sheria vipi kuhusu Nabi alikutwa na changamoto kama ya Gomes? Kama aliguswa maanake nae hakuwa na aina ya cheti kinachotakiwa na CAF ila kama sheria haikumgusa maanake alikidhi vigezo vya CAF. Hivyo ishu inayoletwa humu itakuwa haina uhalisia kwa kusema Nabi hana vigezo
 
Kwahio Nabi kipindi yupo Elmarekh alikua anatumia Leseni ya Mgunda?
Caf waliongeza viwango vya makocha wanaotakiwa kwenye benchi la ufundi kama head coach na walitakiwa waka upgrade leseni zao sasa mbona gomez alikuwa mwazo anakaa kama head coach vilipokuja viwango vipya ikawa hajakidhi ikawa inakaa benchi ndo hvyo kulia kupokezana.
 
Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa haya mambo ya CAF kuzingatia aina vyeti ilianza msimu uliopita ambapo Nabi alikuwepo na alisimama katika michezo yote miwili dhidi ya Rivers united. Sasa ujasiri wa kusema hana vyeti stahiki mnautoa wapi?
Caf waliwataka makocha wakaongeze sifa kwani Gomez hajawahi kuwa head coach kwenye Caf champions league kwa nn sasa last season aliambiwa hana sifa na alikaa jukwaani.
 
Caf waliwataka makocha wakaongeze sifa kwani Gomez hajawahi kuwa head coach kwenye Caf champions league kwa nn sasa last season aliambiwa hana sifa na alikaa jukwaani.
Kumbe ni last season ndio kapata kashikashi sio? Haya je hiyo last season ambapo Gomes kapata hilo sekeseke la vyeti je Yanga hawakushiriki klabu bingwa? Kocha alikuwa nani? Je huyo kocha alikutwa na seke seke kama la Gomes katika msimu huo ambayo CAF walioanisha aina ya vyeti?
 
Caf waliwataka makocha wakaongeze sifa kwani Gomez hajawahi kuwa head coach kwenye Caf champions league kwa nn sasa last season aliambiwa hana sifa na alikaa jukwaani.
Mechi mbili dhidi ya Rivers United msimu uliopita Nabi hakuwepo Yanga??
 
Iwe Kaze au iwe Nabi, wote makocha wa Yanga ambao washakuwa na timu kwa muda mrefu...

Huwezi ifananisha situation ya Simba ya hadi kukopa kocha, na hii ya Utopolo ambayo benchi la ukocha ni lilelile...
 
Karma is bitch
giphy.gif
 
Iwe Kaze au iwe Nabi, wote makocha wa Yanga ambao washakuwa na timu kwa muda mrefu...

Huwezi ifananisha situation ya Simba ya hadi kukopa kocha, na hii ya Utopolo ambayo benchi la ukocha ni lilelile...
Hawa washa data wanataka kila linalowakuta tufanane nao
 
Back
Top Bottom