Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Hii taarifa haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo. Isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance story ya Juma Mgunda! Nothing more.

Kabla ya kuja Yanga, kocha Nabi ameshafundisha vilabu kadhaa vikubwa Afrika! Huko kote alikuwa anatumia leseni gani?
alikuwa anatumia leseni ya udereva.
 
Kuhusu ishu ya Nabi kama inaukweli itakuwa ni uzembe wa hali ya juu kwasababu kulikuwa na muda mrefu wa kufanya hivyo.

Labda niulize tu kwamba kipindi cha registration za CAF, huwa haiwahusu benchi la ufundi pia?
Mimi hii ishu nashindwa hata kujua kama ni ya kweli au ni propaganda kutokana na mijadala ya namna hii inayowahusisha makocha wa Simba kushamiri
 
Hii taarifa haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo. Isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance story ya Juma Mgunda! Nothing more.

Kabla ya kuja Yanga, kocha Nabi ameshafundisha vilabu kadhaa vikubwa Afrika! Huko kote alikuwa anatumia leseni gani?
Labda ya Mgunda[emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20220909-220625_Chrome.jpg
 
Hii taarifa haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo. Isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance story ya Juma Mgunda! Nothing more.

Kabla ya kuja Yanga, kocha Nabi ameshafundisha vilabu kadhaa vikubwa Afrika! Huko kote alikuwa anatumia leseni gani?

Mkuu hiyo lesen au vyet siyo kama cheti cha o level au chuo. Unatakiwa ukfanyie update kila baada ya mda fulan kwa kusoma kozi maalumu siyo kisa una cheti ndiyo basi imeisha. Hapana. Ukiwa haujaupdate bado tu utazuiw kukaa kwenye benchi
 
Back
Top Bottom