Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Bahati nzuri yanga inao makocha waliokamilika, kuanzia kocha msaidizi, kocha wa makipa, na ikishindikana ata Edna lema wa timu ya wanawake anaweza kukaa kwenye benchi, kwaiyo kama Nabi atokuwepo jahazi anaongoza kaze awawezi kwenda kuazima kocha kama wengine
Imekamilikaje sasa wakati kocha Mkuu ndiyo huyo amekula ban?!
 
Mambo yamekwenda songombingo upande wa Nabi

Atakaa Jukwaani kama Gomez da Rosa
Yaani hao hao wachambuzi wakitoa taarifa ya ovyo kuhusu Simba mnawaita makanjanja ila wakitoa taarifa isiyo uthibitisho kuhusu Yanga mnashangilia mnaona ni wasema ukweli. Kocha wa Yanga msimu uliopita alikuwa na kigezo na alikuwa kwenye benchi halafu msimu huu mnaambiwa hana vigezo unashangilia kisa tu kasema mchambuzi na sio page ya CAF
 
Tumeshajibu hili jambo huko mwanzo, au labda hamtaki tu kuelewa.

CAF wana utaratibu wa kuingiza usajili wa majina upya kwa kila mwaka hata kama umekaa miaka kumi au hata kama mwaka jana alikaa benchi kwenye mchezo dhidi ya Rivers United

Ni utaratibu tu, kama ambavyo Kocha Gomez da Rosa yalimkuta..!
 
Kuingiza usajili ni swala jingine na kutokuwa na vigezo ni swala lingine tofauti. Mbona mnajishusha credit kwa mambo ya ovyo mno. Sasa wewe jemedari tuwaelewe kipi Nabi kakosa vigezo au anasubiri approval kutoka CAF? kama hana vigezo maanake hata msimu uliopita hakupaswa kuwepo benchini. Mfikie kutumia akili kuhoji
 
Na wewe hujui kiswahili..kitu kinakuaje kamili wakati mmoja ametoka/ ametolewa.?!
Kiswahili Lugha yetu ila ni wachache wanaoielewa. Au pia nchi yetu kumbuka imekumbwa na udumavu mkali wa akili kwa watu wetu.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kuingiza usajili ni swala jingine na kutokuwa na vigezo ni swala lingine tofauti. Mbona mnajishusha credit kwa mambo ya ovyo mno. Sasa wewe jemedari tuwaelewe kipi Nabi kakosa vigezo au anasubiri approval kutoka CAF? kama hana vigezo maanake hata msimu uliopita hakupaswa kuwepo benchini. Mfikie kutumia akili kuhoji
We jamaa mbona unakuwa kama mtoto ambae hawezi kuchambua mambo kwa umakini?

Unaleta sababu za kwanini Nabu alikuwa kwenye benchi msimu uliopita, vipi Gomes Da Rosa ambaye aliiongoza Simba Sc kwenye michezo kadhaa ya CAF kisha baadae akakosa vigezo?

Aiseeh[emoji23]
 
Back
Top Bottom