Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Hii taarifa haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo. Isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance story ya Juma Mgunda! Nothing more.

Kabla ya kuja Yanga, kocha Nabi ameshafundisha vilabu kadhaa vikubwa Afrika! Huko kote alikuwa anatumia leseni gani?
expand...
Ndugu yangu hawa jamaa hawakukosea kuitwa mbumbumbu,wanataka kubalance story..mwambie alete uthibitisho kama hajaja na brah brah
 
Muhimu vyeti anavyo hayo mengine hayana tatizo.

Ila Simba tumezingua sana, muhimu tutafute kocha mzuri mapema kabisa kabla mashindano hayajakolea.
Kocha gani mzuri zaidi ya Juma Mgunda?
Wakati mwingine acheni akili za Mange kudanga kwa wazungu eti ndio wazuri
Binafsi sipendi wazungu maana huwa tunapata wazungu wa hovyo tu.
Mzungu kama anajua hawezi kuja kwetu
 
Nahisi Kuna mahusiano ya direct kati ya timu kukosa makombe na hasira/uongo/matusi/paniki Kwa mashabiki wake.. Hili naliona sana kwa washabiki wa Simba S.C humu jf
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Hawa jamaa kipindi hiki wana hasira sana na wanataka kila jambo kulinganisha na Yanga.
 
Shaka ondoa mkuu.. Kuna mtu from nowhere kanitukana matusi makubwa makubwa Uzi fulani hivi.. nimefatilia Kwa kina kinajua kumbe ni shabiki wa [emoji881][emoji881][emoji881]
Haya mambo hayaitaji hasira wazee.. kuimba ni kupokezana tu
Simba guvu Moja[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nahisi Kuna mahusiano ya direct kati ya timu kukosa makombe na hasira/uongo/matusi/paniki Kwa mashabiki wake.. Hili naliona sana kwa washabiki wa Simba S.C humu jf
Mkuu ipokee hii taarifa kama Simba SC tulivyoipokea kwa Gomez da Rosa

Ni vitu vya kawaida mno, kuna timu si hapa Tanzania tu nayo imekumbana na kadhia hii.
 
Shaka ondoa mkuu.. Kuna mtu from nowhere kanitukana matusi makubwa makubwa Uzi fulani hivi.. nimefatilia Kwa kina kinajua kumbe ni shabiki wa [emoji881][emoji881][emoji881]
Haya mambo hayaitaji hasira wazee.. kuimba ni kupokezana tu
Simba guvu Moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Pole sana, Utani wa Kishamba huo japo kuna watu wanakera sana humo, hawezi kusimamia hoja yake zaidi ya kutukana tu.
 
mtani kapeleka kocha wa wakina mama, meechi ya marudiano ataongeza na wachezaji kutoka timu ya kina mama apate kikosi kipana
[emoji16][emoji16][emoji16] Kocha wa Nkoma amekwenda kuongeza nguvu tu kwenye benchi la ufundi, anakuwa Kocha wa viungo kwa game ile.

Simba haina Kocha wa makipa wala wa viungo
 
Pole sana, Utani wa Kishamba huo japo kuna watu wanakera sana humo, hawezi kusimamia hoja yake zaidi ya kutukana tu.
Ndo jf ya Sasa iyo mkuu.. Hoja kizanzi kinachofata ni matusi ya nguoni. Tena kipindi hiki [emoji881][emoji881][emoji881] amekosa vikombe basi tunaishi Kwa hofu tele maana mashambulizi ya matusi ni mengi sana upande wetu...
 
Taarifa imeletwa na kolo ilimradi kubalance story. Nabi ana kila kitu na hakuna taarifa yoyote ya approval anayoisubiri kutoka CAF
Yeye asisubiri kwani nani katika CAF? Mbona Gomez da Rosa yalimkuta

Hapo ni utaratibu tu kuweka tiki na utamuona kwenye mchezo. Acha Uoga Uto.
 
Ndo jf ya Sasa iyo mkuu.. Hoja kizanzi kinachofata ni matusi ya nguoni. Tena kipindi hiki [emoji881][emoji881][emoji881] amekosa vikombe basi tunaishi Kwa hofu tele maana mashambulizi ya matusi ni mengi sana upande wetu...
Mbona mimi nimekosa vikombe lakini naona kawaida tu, hata Uzi wa Update hata tufungwe naendelea tu siachi.

Kwa kuwa naamini kwamba huwezi kuwa juu bila kuanzia chini na Utani wa Simba na Yanga Upo.
 
Back
Top Bottom