Mwanachama mtiifu wa Rage katika Moja na mbiliUkongwe sio ukubwa
Na huo ukongwe wa kiumri sio wa gap hilo ambalo mnaliongelea kiukubwa.
Ku-share sare na CCM kusiwapumbaze mkajiona ni mataita wakati background records zipo zinaonesha hata kuanza kuvaa viatu mlianza miaka ya 90
Kwani kocha akiajiriwa anakuwa amefungwa kufuli asiondoke? Ni mkataba Gani wa namna iyo ulishauona wapi? Kocha kapata malisho mazuri zaidi na vipengele vya kimkataba vimemruhusu kufanya alichokifanya sasa yanga wangemzuia? Pesa aliyowekewa na wale jamaa yanga wangeweza kumlipa ata kama wangetaka abaki?Unataka upewe sababu wakati majibu umeshapata kwa kumvunjia mkataba!! Angekuwa mzuri Yanga wasingekubali aondoke!
Huyu asha wahi hata kupata draw kwa Yanga?Side mnyamwezi katupa taulo mapema hivi? π€£View attachment 3225403
Kwani ofa ya mzize ilikuwa ndogo?Ni kweli anaondoka lakini sio kwa kufukuzwa isipokuwa anakwenda kuwa kocha mkuu wa CR belouzdad ya Algeria,,wamekubali kuvunja mkataba wake na kulipa fidia ya mkataba huo ili wamchukue na wametoa ofa kubwa sana ambayo kocha ameamua kukaa mezani na waajiri wake kukubaliana kuvunja mkataba huo na amekubaliwa!
Mzize ni kocha?Kwani ofa ya mzize ilikuwa ndogo?
Hajatimuliwa mbona mbona mnaonyesha umbumbumbu wenu hadharaniKwahiyo mnataka tuamini kuwa ushindi wa mechi zilizokuwa chini yake mlitumia bahasha au mi ndiye sijaelewa....
Kumbe unaweza kushinda magoli kadhaa kwenye mechi kadhaa na ukatimuliwa pia.
Afrika tuko vizuri...ππs
Nani kasema kocha?Mzize ni kocha?
Usiwe mbumbumbu kupitiliza nani kakwambia kocha katimuliwa?Kwahiyo mnataka tuamini kuwa ushindi wa mechi zilizokuwa chini yake mlitumia bahasha au mi ndiye sijaelewa....
Kumbe unaweza kushinda magoli kadhaa kwenye mechi kadhaa na ukatimuliwa pia.
Afrika tuko vizuri...ππs
Umesikia kwa wadaku huko bana wee..uko ndani ya Yanga kama shabiki tuu topolo wewe...Me sinaga habari za kuokoteza, utakuja kuniheshimu siku 1
Niko ndani ya Yanga
Sasa unataka kusemaje juu ya kocha na mzize?Nani kasema kocha?