Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Umesikia kwa wadaku huko bana wee..uko ndani ya Yanga kama shabiki tuu topolo wewe...
Ndio anaondoka...
Poleni sana mna hali mbay mnoo
Ipo siku nitajiweka wazi
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Na atatumia mchezo wa Kesho kuaga mashabiki wa Yanga

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Aende tu, Juzi nilisema huyu mwamba hafikishi Iddi.
Aende kwa Amani kabisa.
 
: ila na nidhamu ya wachezaji nje ya uwanja nayo lazima idhibitiwe. Maana mpaka leo kuna wachezaji kama Pacome Zouzoua, siyo wale tulio wazoea hapo kabka, kutokana na viwango vyao kuporomoka kwa kasi ya ajabu
Umenena vema, ila mara nyingi nidhamu za wachezaji wetu wa kimataifa huwa zinavurugwa na viongozi wenyewe.
Mchezaji wa kimataifa kama anaupiga sana viongozi wetu huanza kuwashobokea.
Wanasahau wajibu wao kufuatilia mienendo yao kwa ukaribu, bdala yake huenda nao night club na kisha kuwatafutia makahaba walioshindikana ili wawaburudishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…