Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.

Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
 
View attachment 1742428

Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.

Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
Hahahaha mimi nimewambia Simba ilicheza jana

Hamkunielewa.... Aya usituangushe.
 
Hizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
Machicha & Makapi ya kwanza kabisa hayakufuzu mashindano haya toka kwenye ligi zao. Yaliondolewa. Makapi mengine hayawezi kuchukua ubingwa ktk ligi zao yanasubiria mbeleko.

Makapi mengine yaliachwa katika hatua za awali na raundi ya kwanza. Mengine yakashushwa SHIRIKISHO.

Group stage wana bakia pure wanaume wa kucheza ligi ya mabingwa wa AFRIKA.

Relax, utizame mpira mzuri.
 
hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo


huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
 
Utopolo nakuona unachambua [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana unateseka ukiwa wapi
 
Nyie utopolo mpo kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…