Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ray kama RayTuache unaafiki simba iko vzr
Nmekupenda bure[emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ray kama RayTuache unaafiki simba iko vzr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
Wapo group stage mashindano ya kulalamika na lawama,wanaongoza kwenye kundi lao.Nyie utopolo mpo kundi gani?
Lazima awadanganye waajiri wake ili wasimfukuze kazi, angeomba mbinu za Prison kuishughulikia SimbaView attachment 1742428
Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.
Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
Sawa dada mvaa vjoraHizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
Unateseka ukiwa wapi? Tukubali hata kwa shingo upande Simba ni team bora yanga mwenzangu. Nami nlikuwa kama wewe leo nimenyoosha mikono juu...sitaki ugonjwa wa moyo. Na sitaki uchawi umri huu.niteseke mimi ama anateseka huyo mrundi kwa kuwa na timu mbovu kafungwa na mbovu mwenzake
kwa mwamediUnateseka ukiwa wapi?
nilikuwa nakusafuta sana we utopongo. tupe matokeokwa mwamedi
Si ana mke yule? Unataka kuwa mke mdogo?Unateseka ukiwa wapi?
kwa mwamedi
Heeeh... Ushaolewa? 😳😳😳😳 Hualiki sisi kaka zako?kwa mwamedi
draw 2-2 waarabu wametoka, huku kwa wacheza kabumbu nasikia kuna mlevi kamwangukia mwenzakenilikuwa nakusafuta sana we utopongo. tupe matokeo
nyie mtaalikwa na mwamediHeeeh... Ushaolewa? 😳😳😳😳 Hualiki sisi kaka zako?
Ok. Hongera sana.ndo maendeleo... Bi zipompa pompa walisema hutaolewa... Wako wapi sasa? Na simba imewaoa as vita pianyie mtaalikwa na mwamedi
iyo timu mbovu ndo maana ni ya pili toka mwishoOk. Hongera sana.ndo maendeleo... Bi zipompa pompa walisema hutaolewa... Wako wapi sasa? Na simba imewaoa as vita pia
Pole sana.hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Simba ilipopigwa 5 mlisema mengine. Siyo nyie mliosema sjmba ni underdog. Msimu huu ulipoanza mlisema al ahly ndiyo timu bora Afrika, simba hawaezi kufika mbali na kwamba As vita na Al ahly ndiyo vinara wa kundi. Leo mmebadilisha kauli, eti wamekutana wagonjwa watupu.hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Wewe na Ndugulile wote akili box isipokuwa yeye anasaini mikataba na kuwakilisha wananchi ila ww ni keyboard worrieshahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Utopolo fc soma iyooo[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 1742428
Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.
Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi