Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo


huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Pole Manyani FC inaonekana mmeumia sana na mafanikio ya Simba, mwaka huu sisi tunaingia ndani ya team 10 bora africa wakati nyie maiti mtaludi mpaka nafasi ya 80. endeleeni na wivu wenu.
 
huyo AL AHLY ana maajabu gani ka draw na vita na el mereik hana lolote la maana hadi umpambe ivo hili kundi walikutana sunche na kapeto
Lazima kipigo hiki kikuume maana kinakukumbusha mwaka jana Simba 4 Yanga (Utopolo/Nyani/Mbwa FC) 1 yamejirudia tena.....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Utopolo. Ni heri ujinga wa kuuza kuliko ubaradhuli wa kununua. Acheni ubaradhuli. Aliyefanikiwa huigwa lakini nyie badala ya kuiga mnaomba wote wafeli.Ukisikia roho ya kichawi usitafute kwingine nenda Jangwani kwa Utopolo.
 
Pole Manyani FC inaonekana mmeumia sana na mafanikio ya Simba, mwaka huu sisi tunaingia ndani ya team 10 bora africa wakati nyie maiti mtaludi mpaka nafasi ya 80. endeleeni na wivu wenu.
mafanikio yapi mkuu kuongoza kundi la walemavu ama
 
View attachment 1742428

Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.

Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
Kama kocha wa timu kubwa kabisa hapa barani Afrika iliyofungwa na Simba kayasema hayo yeye mwenyewe kwa akili zake timamu bila kishawishiwa na mtu,Mimi Ni Nani hata nibishe.
Simba itabaki kuwa Klabu ya Taifa na EA.
Simba Ni timu ya kuweka historian.
Simba oyeee.
 
Back
Top Bottom