Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unaongea kama Haji Manara.Wewe ni Haji Manara?Tukukumbusha ,ikiisha Robo ,utasema Nusu,ikiisha Nusu ,utasema Fainali,ikiisha Fainali,utasema klabu BINGWA ya Dunia,mtaamisha magoli tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kama Haji Manara.Wewe ni Haji Manara?Tukukumbusha ,ikiisha Robo ,utasema Nusu,ikiisha Nusu ,utasema Fainali,ikiisha Fainali,utasema klabu BINGWA ya Dunia,mtaamisha magoli tu
Lamba limao litakusaidia hiyo hali ya kichefu chefu...iyo timu mbovu ndo maana ni ya pili toka mwisho
Pole Manyani FC inaonekana mmeumia sana na mafanikio ya Simba, mwaka huu sisi tunaingia ndani ya team 10 bora africa wakati nyie maiti mtaludi mpaka nafasi ya 80. endeleeni na wivu wenu.hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Lazima kipigo hiki kikuume maana kinakukumbusha mwaka jana Simba 4 Yanga (Utopolo/Nyani/Mbwa FC) 1 yamejirudia tena.....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyo AL AHLY ana maajabu gani ka draw na vita na el mereik hana lolote la maana hadi umpambe ivo hili kundi walikutana sunche na kapeto
mafanikio yapi mkuu kuongoza kundi la walemavu amaPole Manyani FC inaonekana mmeumia sana na mafanikio ya Simba, mwaka huu sisi tunaingia ndani ya team 10 bora africa wakati nyie maiti mtaludi mpaka nafasi ya 80. endeleeni na wivu wenu.
Kama kocha wa timu kubwa kabisa hapa barani Afrika iliyofungwa na Simba kayasema hayo yeye mwenyewe kwa akili zake timamu bila kishawishiwa na mtu,Mimi Ni Nani hata nibishe.View attachment 1742428
Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.
Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi