Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

View attachment 1742428

Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.

Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
Lazima awadanganye waajiri wake ili wasimfukuze kazi, angeomba mbinu za Prison kuishughulikia Simba

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana.
Unateseka ukiwa wapi?
 
Simba ilipopigwa 5 mlisema mengine. Siyo nyie mliosema sjmba ni underdog. Msimu huu ulipoanza mlisema al ahly ndiyo timu bora Afrika, simba hawaezi kufika mbali na kwamba As vita na Al ahly ndiyo vinara wa kundi. Leo mmebadilisha kauli, eti wamekutana wagonjwa watupu.

Al ahly jmetoka kucheza na Bayern na wote tuliona kiwango chake. Bado hamtaki kukubali kwamba Simba is no longer an undedog in this group.

Jifunzeni kupongeza, utopolo ni wachumba wetu harusi soon itafungwa.
 
W
Wewe na Ndugulile wote akili box isipokuwa yeye anasaini mikataba na kuwakilisha wananchi ila ww ni keyboard worries
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…