Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

Ametia huruma sana kapigwa karibu na jicho siyo uanamichezo Tanzania ya amani ipo wapi
 
Huyo jamaa mpuuzi ametumwa kuihujumu Yanga.
Kulikuwa na ulazima gani kumpiga kocha wa timu pinzani?
Anafanana na promota fulani wa pambano alilogomea Mwakiny*
Kalig0 Kalig0.
Kama ndiyo mwenye amenishangaza sana.
Anapesa na ametembea sana. Mfanyabiashara wa muda mrefu.
Mtu mzima mzee kiumri. Rika la akina kocha Julio.
Nimeficha jina sababu sina uhakika.
Dah... basi kazingua sana
 
Nimependa ngumi aliyompiga inaitwa ngumi ya daktari wa muhimbili,ngumi ya mpindo
Acha kusifia vurugu... kupigana kisa mpira si jambo linalohitaji sifa, huyo kampiga kocha tena katika mechi za kimataifa, hii inaharibu taswira yetu na mpira wetu
 
Jamaa ni mpumbavu na mjinga haswa, yaani mchezo wa mpira wa miguu ameuwekea chuki na uadui dhidi ya mpinzani kiasi cha kumrushia ngumi mtu ambaye hajakuchokoz
Kabisa... jamaa kazingua
 
Ili mradi PUNDA ASONGE MBELE? SIO FAIR PLAY
Kumpiga kocha ngumi alafu kabla ya mchezo kunaweza kumfanya akose utulivu wa kufanya majukumu yake kutokana na maumivu...

Huyu jamaa achukuliwe hatua
 
Dah... basi kazingua sana
Kama ndiyo huyo kazingua kweli.
Siyo wa kufanya mambo hayo.
Mshua anasukuma ndinga Kali Mercedes Benz na biashara kibao nchi fulani za SADC.
Watakuwa wamefanana tu.
 
Back
Top Bottom