Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
Mpaka sasa hivi sijajua sababu ya huyo kocha kupigwa, sio uungwana kabisa
Upumbavu umetawala kuanzia kwa viongozi wa hizi tumimu hadi kwa mashabiki wao.Kabisa
Haijalishi, lakini huyo jamaa atafutwe achukuliwe hatua.... Hatuwezi kuharibu taswira ya nchi kisoka kisa mpumbavu mmojaHoja yako nzuri ila kauli ya kwamba ni kiongozi yanga unazingua
nje ya maada mashabiki mengi ya simba na yanga ya dar es salaam huwa kama matahira hivi
Wapi nimetetea uto kurusha ngumi?😄😄😄 bado sio hoja ya kurusha ngumu kwa wageni
Chadema waliwaandikia barua kwamba Tanzania kuna ugaidi hakuelewa sasa haya ndo madhara yakeView attachment 3669281
Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania.
Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika mechi za kimataifa ambazo zinapaswa kutuunganisha, kutangaza nchi yetu na kujenga heshima ya Tanzania kimataifa.
Tumetumia miaka mingi kujenga taswira nzuri ya Tanzania katika soka. Hatuwezi kuruhusu taswira hiyo iharibiwe na vitendo vya watu wachache vinavyokiuka misingi ya nidhamu na ustaarabu wa michezo.
TFF, suala hili lisipuuzwe. Wale wote watakaothibitika kuhusika wachukuliwe hatua na kupewa adhabu stahiki kwa mujibu wa kanuni za soka. Tusubiri hatua kabla mambo hayajawa makubwa zaidi.
Tuilinde heshima ya Tanzania. Mpira ubaki kuwa mchezo, sio uwanja wa visasi na uhasama.
Tulia wewe. Ukibisha nenda mto fyizimu ukatambike.Kama ni hivyo amezingua sana
Habari ya jamaa ina mapungufu gani kipngozi??kwa hiyo umeona ni habari ya kuvutia sana hadi uweke ushahidi huku kwenye mtandao?
Afrika tuna tatizo la kupokea mtandao wakati hatuna Elimu ya mtandao...tumedandia gari kwa mbele