Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
weka link hapaCAF Online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka link hapaCAF Online
Halafu nahisi swali lako sijalielewa vizuri. Unamaanisha source ya kwamba Gomez ame-pass tu QT halafu akaanza kujifanya na yeye ni kocha mwenye viwango vya CAF, au source ya kwamba wote wenye QT ni marufuku kujifananisha na hawa hapa👇 👇 👇 👇 👇Source ya hii habari yako iko wapi?
Soma hapa, kisha angalia hiyo misimu ilivyotaja na ndipo utapata jibu ikiwa CAF ni wakurupukaji au ni akina Da' Barbara ndio wakurupukaji!
Kama source ni hii Gomez ana sifa .Soma hapa, kisha angalia hiyo misimu ilivyotaja na ndipo utapata jibu ikiwa CAF ni wakurupukaji au ni akina Da' Barbara ndio wakurupukaji-
Vile vile hapa chini ni barua ya CAF kwenda TFF ya Kenya baada Gor Mahia na wenyewe msimu uliopita kuwa na kocha aliye-pass QT tu kama Gormez na eti wakadhani ana haki na hiyo QT yake
SAY "NO" TO JANJA JANJA YENYE QT KWENYE AFRICAN SOCCER!!
link hapo juu ukisoma Gomes anayo sifa mleta mada amekurupukasaaa ilikuwaje Kenya wakapewa barua sababu ya kocha wa Gormahia ila TFF wasipewe sababu ya Simba maaana huo msimu uliopita Dider alikaa kwenye Bench
Hebu onesha hiyo sifa kwa kuangalia hiyo link unayoisema!!! Si umeona hapo barua ya CAF ikiwaambia TFF ya Kenya kwamba asiye na Pro License from sister confederation basi huyo mtu hana sifa za kukaa bench!! So, Gomez atakuwa na sifa endapo anayo UEFA Pro vinginevyo, hana!!link hapo juu ukisoma Gomes anayo sifa mleta mada amekurupuka
Kuna moja wapo kati ya haya mawili! Inawezekana TFF ya Kenya waliwaandikia CAF kutaka ufafanuzi, au inawezekana hata TFF nao wamepata barua sawa na hiyo na kuifikisha kwa akina Da Barbara but we all know there's no way Makorokoro FC wanaweza kuitoa barua kama hiyo hadharani unless awepo wa kuivujisha!!saaa ilikuwaje Kenya wakapewa barua sababu ya kocha wa Gormahia ila TFF wasipewe sababu ya Simba maaana huo msimu uliopita Dider alikaa kwenye Bench
Labda uende naye nyumbani kwako, kwa level za Africa hatutaki makocha wa UPE, kama anataka kazi darasani akosome.Huyo huyo asiye na sifa ndiye aliyetupeleka robo fainali,tunakwenda nae hivyo hivyo tuweke rekodi kwa kufika nusu fainali na fainali na ikiwezekana kuchukua ubingwa kabisa bila kuwa na kocha mwenye sifa.
Simbaaaaaaaaa
Sifa hiyo imeoneshwa sehemu ipi?Kama source ni hii Gomez ana sifa .
Acha maneno maneno wewe; maendeleo hayana chama, wala hayataki ushabiki! SAY "NO" to Janja Janja ya elimu ya UPE kwenye Soccer!!Huyo huyo asiye na sifa ndiye aliyetupeleka robo fainali,tunakwenda nae hivyo hivyo tuweke rekodi kwa kufika nusu fainali na fainali na ikiwezekana kuchukua ubingwa kabisa bila kuwa na kocha mwenye sifa.
Simbaaaaaaaaa
Club ya Simba ni mkusanyiko ama Burungutu ama genge la wahuniShirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO.
Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama UEFA PRO.
Katika maelezo yaliyotolewa na CAF, kocha Mkuu anapaswa kuwa na leseni tajwa hapo juu huku kocha Msaidizi akipaswa kuwa na CAF B.
Kocha ambaye hatokidhi vigezo tajwa hatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi wakati wa mechi za Ligi ya Mabingwa na kombe la Shirikisho.
Hatua hii imefikiwa na CAF ili kuleta thamani na ubora katika michuano hiyo. Hii ni ili kuleta maendeleo katika soka la Africa kwa kuhakikisha kuwa vilabu vinafunzwa na makocha wenye viwango toshelezi katika madaraja ya juu.
Pamoja na kocha Didier, makocha wa klabu za APR, KMKM, El Mereikh na wengine hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika mechi tajwa.
Simba huenda ikawakosa kocha Mkuu na kocha Msaidizi kwa kuwa kocha msaidizi Ndg Selemani Matola ana lesenu ya CAF C ambayo haikidhi vigezo vya kuwa kocha msaidizi.
Simba wana kazi ya ziada ya kufanya.
Naipenda Simba Mshabiki wa Damu.
inawezekana pia TFF hawakupata barua ,inawezekana ni kweli Da Rosa hana sifa au anayo tusubiri mda ufike tuone kama atakwepo benchKuna moja wapo kati ya haya mawili! Inawezekana TFF ya Kenya waliwaandikia CAF kutaka ufafanuzi, au inawezekana hata TFF nao wamepata barua sawa na hiyo na kuifikisha kwa akina Da Barbara but we all know there's no way Makorokoro FC wanaweza kuitoa barua kama hiyo hadharani unless awepo wa kuivujisha!!
nimesoma nilielewa vibaya ,ila tusubiri kitakachotokeaSifa hiyo imeoneshwa sehemu ipi?
Hapo sasa, sawa!!nimesoma nilielewa vibaya ,ila tusubiri kitakachotokea