Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

Mkuu Uongozi wa Klabu ya Simba umekiri kuwa hana sifa ila kutokana na kwamba alitambua hilo na ikabidi ajiendeleze, hivi karibuni atapata certificate then ataqualify kukaa kwenye bench.
Atunze na mitihani yake tutakagua, asituletee vyeti vya kufyetua.
 
Mkuu Uongozi wa Klabu ya Simba umekiri kuwa hana sifa ila kutokana na kwamba alitambua hilo na ikabidi ajiendeleze, hivi karibuni atapata certificate then ataqualify kukaa kwenye bench.
Na tayari wamemchukua mrundi hitimana aliyekuwa kocha wa mtibwa kukaa kwenye benchi mpaka da rossa akimaliza masomo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Simba imejaa mbumbumbu, tulidhani ni mashabiki tu kumbe na kocha naye ni MEMKWA.
Ok Memkwa hao hao ndio wanaofika mbali michuano mikubwa,tafakari sasa wasingekuwa memkwa si ndio wangechukua hadi wake zenu?
 
Back
Top Bottom