Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.Hapo sasa, sawa!!
Kwenye mashindano ya shirikisho hawana hii kanuni.Mbona Biashara united Mara haijatajwa? Ina mana kocha wake anazo sifa zinazohitajika na CAF?
Habari zao za kutunga mara ngapi wamwongea huu umaandazi. Ila waambie akiwa hana sifa basi tunaleta mkali yy anakua msaidiziMbona Biashara united Mara haijatajwa? Ina mana kocha wake anazo sifa zinazohitajika na CAF?
Tuliza muhaho sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.CAF Online
Ongeza sautiiiiiii[emoji441][emoji441][emoji441]Tuliza muhaho sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.
Ni kwamba Da Rosa alikuwa anaendelea na mafunzo yake online na anahitimu soon kabla ya mechi za simba za kimataifa
Sawa Ndg mwandishiTuliza muhaho sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.
Ni kwamba Da Rosa alikuwa anaendelea na mafunzo yake online na anahitimu soon kabla ya mechi za simba za kimataifa
Wenyewe wanasema mambo yao wana yaendesha kiproffesional zaidi. Ila ukiangalia still ujanja ujanja bado upo.Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO.
Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama UEFA PRO.
Katika maelezo yaliyotolewa na CAF, kocha Mkuu anapaswa kuwa na leseni tajwa hapo juu huku kocha Msaidizi akipaswa kuwa na CAF B.
Kocha ambaye hatokidhi vigezo tajwa hatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi wakati wa mechi za Ligi ya Mabingwa na kombe la Shirikisho.
Hatua hii imefikiwa na CAF ili kuleta thamani na ubora katika michuano hiyo. Hii ni ili kuleta maendeleo katika soka la Africa kwa kuhakikisha kuwa vilabu vinafunzwa na makocha wenye viwango toshelezi katika madaraja ya juu.
Pamoja na kocha Didier, makocha wa klabu za APR, KMKM, El Mereikh na wengine hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika mechi tajwa.
Simba huenda ikawakosa kocha Mkuu na kocha Msaidizi kwa kuwa kocha msaidizi Ndg Selemani Matola ana lesenu ya CAF C ambayo haikidhi vigezo vya kuwa kocha msaidizi.
Simba wana kazi ya ziada ya kufanya.
Naipenda Simba Mshabiki wa Damu.
Kwanza utasomaje online wakati kuna vitendo vinahitajika vitolewe wakati wa kufundishwa physicallyNaona ili kikabiliana na hili kocha wa mtibwa nimepanda nae basi hapa toka Moro anakuja dsm kusinya Simba ili achukue nafas hii
Sasa sijui Matola akimaliza mafunzo atakuwa Nani klabuni kwetu
Lesen uefa pro licence kocha HITIMANA ameniambia n almost miaka 2-3 Sasa huyu wetu wa online atahitimu lini sijui
#SIMBA NGUVU MOJA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hi thread thimba wameikimbia wanashia
Kuomba link [emoji23][emoji23]
Huyo huyo asiye na sifa ndiye aliyetupeleka robo fainali,tunakwenda nae hivyo hivyo tuweke rekodi kwa kufika nusu fainali na fainali na ikiwezekana kuchukua ubingwa kabisa bila kuwa na kocha mwenye sifa.
Simbaaaaaaaaa
Sawa mzee wa kupika taarifa
Makolo akili zao zimeshikwa na mud, anawaokota wazungu wanao fundisha ndondo ulaya na kuwaleta bongo