We ambaye huna hata certificate ya kufundisha ndondo unahoji kama nani na unajipa umuhimu kama naniKwanza utasomaje online wakati kuna vitendo vinahitajika vitolewe wakati wa kufundishwa physically
Sawa mzee wa kupika taarifa
Mkuu nakukubali sana kwa kupika taarifa zako tangu muda mrefu sana
Mimi ni mwalimu wa mpira tena nina certificate ya CAF B licenseWe ambaye huna hata certificate ya kufundisha ndondo unahoji kama nani na unajipa umuhimu kama nani
Weka nakala hapa tuhakikisheMimi ni mwalimu wa mpira tena nina certificate ya CAF B license
Soon in your PMWeka nakala hapa tuhakikishe
Mkuu TFF ya kenya ndiyo nini?Hebu onesha hiyo sifa kwa kuangalia hiyo link unayoisema!!! Si umeona hapo barua ya CAF ikiwaambia TFF ya Kenya kwamba asiye na Pro License from sister confederation basi huyo mtu hana sifa za kukaa bench!! So, Gomez atakuwa na sifa endapo anayo UEFA Pro vinginevyo, hana!!
Anamaanisha FKF ( Football Federation Kenya)Mkuu TFF ya kenya ndiyo nini?
Sasa itakuaje?
Kocha atakuwa anaisubiria timu ndani ya vyumba vya ndani au itabidi awe jukwaani anatoa maelekezo..
Nimesikiliza vizuri, labda wewe umekosa kile kipande kilichosema "by January..."!sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.
Ni kwamba Da Rosa alikuwa anaendelea na mafunzo yake online na anahitimu soon kabla ya mechi za simba za kimataifa.
Very Simple,Na si Gomez tu hata matola hastahili kukaa benchi maana wote hawakidhi vigezo
Hivi mkuu mtu akisema UPE Coach wa katimu kakubwa, bado utashindwa kuelewa?Mkuu TFF ya kenya ndiyo nini?
Hahahaha nimekuelewa na imekaa vZrVery Simple,
Ni tutakua hatuna kocha Mkuu kwenye CAF na Gomez atakaa benchi kama kocha msaidizi
Sasa wewe utaputapu miaka minne yote umeshindwa hata kupuliza na wewe?Kumbe ni Kama jezi zao tu, nzuri machoni quality 0% Makocha wao nao ni sifuri kabisa, wanashindia kwa hila za kupuliza madawa vyumba vya timu pinzani na uchawi mwingi
Hili swala sio jipya,simba wanalijua muda tu,hii imekuja baada ya kanuni kubadilishwa,huu ni mpira wa Miguu si rede kanuni zinabadilika muda wowote,Gomez alishaanza kozi online,na taarifa ikufikie mpaka kipindi simba anaanza mechi zake tayari kila kitu kipo sawa! TAFUTENI JINGINEMakolosenge FC humu yako busy na akina djuma shaaban, mayele na aucho lakini hayajui kocha wao ni QT ndo maana analipwa mil 1 Tu Kwa mwezi. Mwamed ni tapeli sn kafukuza makocha wenye CV kubwa ili alete kocha WA academy za watoto wadogo hata kamshahara kawe kadogo.
Makolosenge yote humu ni majingamajinga Tu mambumbu
Simba tayari wameajiri kocha hitimana aliyekuwa mtibwa,ndiye atakaa bench na darosa atakuwa kwenye jukwaa la watazamaji,akimuongozaHili swala sio jipya,simba wanalijua muda tu,hii imekuja baada ya kanuni kubadilishwa,huu ni mpira wa Miguu si rede kanuni zinabadilika muda wowote,Gomez alishaanza kozi online,na taarifa ikufikie mpaka kipindi simba anaanza mechi zake tayari kila kitu kipo sawa! TAFUTENI JINGINE
Hawa akili zao ni nusu na robo,hawatusumbui kabisaaUtawaweza hawa Mama nibebe kwenda CL na Kocha wao aliyekuwa anakaa kwenye Club moja si chini ya miezi miwili anatimuliwa.Akili zao wamemkabidhi Manara kwa sasa.
Tulia msukule weweeeAcha maneno maneno wewe; maendeleo hayana chama, wala hayataki ushabiki! SAY "NO" to Janja Janja ya elimu ya UPE kwenye Soccer!!
Tulieni nyie wamama wa uto,tutawakilisha mulemule kama kawaida yetuLabda uende naye nyumbani kwako, kwa level za Africa hatutaki makocha wa UPE, kama anataka kazi darasani akosome.
Mbona unaongea makolokolo kijana? Ongea Kiswahili sanifuSasa wewe utaputapu miaka minne yote umeshindwa hata kupuliza na wewe?
Mkuu Uongozi wa Klabu ya Simba umekiri kuwa hana sifa ila kutokana na kwamba alitambua hilo na ikabidi ajiendeleze, hivi karibuni atapata certificate then ataqualify kukaa kwenye bench.inawezekana pia TFF hawakupata barua ,inawezekana ni kweli Da Rosa hana sifa au anayo tusubiri mda ufike tuone kama atakwepo bench