Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
IMG_2676.jpeg
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
 
Ameanza maneno mengi labda amjui vizuri gamond na yanga pia aijui vizuri awaulize waliomtangulia kuanzia benchikha mpaka Robertinho, asiongee akamaliza maneno baada ya mechi anaweza akasahau na koti lake kwenye benchi aweke akiba ya maneno
 
😅😅 Khaaaaah we cheupe acha hizo.
Sasa sukari ikipanda itakuwaje hasa🙆
Hachelewi kuja na kilatino chake cha gugo kutoa stress za maisha 🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom