Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Screenshot_20240807-221109.jpg
 
Ndugu mama kubwa, yafuatayo ndiyo maneno yatakayoisemwa na wana SANDA FC mara baada ya mechi hapo kesho;

1. Mukwalla tumepigwa
2. Hatumtaki Mangungu
3. Kocha hafai
4. MO atuachie timu yetu
5. Timu haina muunganiko
6. Kapombe amezeeka.
7. Debora akacheze rede
8. Kibu Denga angebaki huko huko alikokimbilia
9. Mgunda angekuwepo haya yasingetukuta
10. Hatuji tena uwanjani

CC
Kalpana
GENTAMYCINE
Tsh
cocastic
Endeleeni kuamini kuwa Yanga anashinda, mechi imeshaisha hiyo Simba 2-1 Yanga, poleni kwa maumivu mtakayopata
 
Back
Top Bottom