Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

mpaka anasema maneno hayo huwenda wameshamuonya na waliomuonya wanaogopa!, alasivyo ni mchezo wakisaikolojia!. huyu ngoja ajiset kwenye mfumo..😀
 
Inawezekana tafsiri ndio tatizo mwandishi angeandika Lugha aliyosema huyo kocha kuliko kumlisha kitu tofauti ili wao wauze...
 
Ndugu mama kubwa, yafuatayo ndiyo maneno yatakayoisemwa na wana SANDA FC mara baada ya mechi hapo kesho;

1. Mukwalla tumepigwa
2. Hatumtaki Mangungu
3. Kocha hafai
4. MO atuachie timu yetu
5. Timu haina muunganiko
6. Kapombe amezeeka.
7. Debora akacheze rede
8. Kibu Denga angebaki huko huko alikokimbilia
9. Mgunda angekuwepo haya yasingetukuta
10. Hatuji tena uwanjani

CC
Kalpana
GENTAMYCINE
Tsh
cocastic
Kwani mechi imeshachezwa?
 
Huyu kocha anamidadii Sanaa,keshoo atateseka sana Na hatuli nae Christmas atakua kwao Biashara imeisha🤣🤣hamna kocha hapo mikwalaa mingi mbinu 00.
 
Huyu kocha anamidadii Sanaa,keshoo atateseka sana Na hatuli nae Christmas atakua kwao Biashara imeisha🤣🤣hamna kocha hapo mikwalaa mingi mbinu 00.
 
Ni vizuri wanayanga mkajiandaa kisaikolojia, litawakuta jambo ambalo hamtaamini.
Ni muhimu kuchukua tahadhari.
Goli ni kuanzia 3
 
Back
Top Bottom