Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Hachelewi kuja na kilatino chake cha gugo kutoa stress za maisha 🤣🤣🤣
Usijali cheupe. Mti wenye mwatunda ndio unapigwa mawe🤣 au apewe kadolali apunguze makasiriko🤔
 
Ameanza maneno mengi labda amjui vizuri gamond na yanga pia aijui vizuri awaulize waliomtangulia kuanzia benchikha mpaka Robertinho, asiongee akamaliza maneno baada ya mechi anaweza akasahau na koti lake kwenye benchi aweke akiba ya maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usijali cheupe. Mti wenye mwatunda ndio unapigwa mawe🤣 au apewe kadolali apunguze makasiriko🤔
Tumpotezee siku hizi kuwapa kiki machokoraa niliacha 😹😹😹
Ehh kwanza unashabikia team gani?
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Lugha. Wanapandikiza maneno. Hao ndio UTO.
Ndugu mama kubwa, yafuatayo ndiyo maneno yatakayosemwa na wana SANDA FC mara baada ya mechi hapo kesho;

1. Mukwalla tumepigwa
2. Hatumtaki Mangungu
3. Kocha hafai
4. MO atuachie timu yetu
5. Timu haina muunganiko
6. Kapombe amezeeka.
7. Debora akacheze rede
8. Kibu Denga angebaki huko huko alikokimbilia
9. Mgunda angekuwepo haya yasingetukuta
10. Hatuji tena uwanjani

CC
Kalpana
GENTAMYCINE
Tsh
cocastic
 
Back
Top Bottom