Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

Hachelewi kuja na kilatino chake cha gugo kutoa stress za maisha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Usijali cheupe. Mti wenye mwatunda ndio unapigwa mawe๐Ÿคฃ au apewe kadolali apunguze makasiriko๐Ÿค”
 
Ameanza maneno mengi labda amjui vizuri gamond na yanga pia aijui vizuri awaulize waliomtangulia kuanzia benchikha mpaka Robertinho, asiongee akamaliza maneno baada ya mechi anaweza akasahau na koti lake kwenye benchi aweke akiba ya maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usijali cheupe. Mti wenye mwatunda ndio unapigwa mawe๐Ÿคฃ au apewe kadolali apunguze makasiriko๐Ÿค”
Tumpotezee siku hizi kuwapa kiki machokoraa niliacha ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ehh kwanza unashabikia team gani?
 
Reactions: 511
Unacheza na Yanga alafu Unasema hauichukulii mechi kwa urahisi?? Ong bak bado hajazijua vizuri hizi timu
 
Tumpotezee siku hizi kuwapa kiki machokoraa niliacha ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ehh kwanza unashabikia team gani?
Yanga bingwa
๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š
 
Yanga bingwa, wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Simba wachague wenyewe tuwafunge ngapi kesho ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Dadeq mtani ataweka mpira kwapani ๐Ÿคฃ
 
Lugha. Wanapandikiza maneno. Hao ndio UTO.
Ndugu mama kubwa, yafuatayo ndiyo maneno yatakayosemwa na wana SANDA FC mara baada ya mechi hapo kesho;

1. Mukwalla tumepigwa
2. Hatumtaki Mangungu
3. Kocha hafai
4. MO atuachie timu yetu
5. Timu haina muunganiko
6. Kapombe amezeeka.
7. Debora akacheze rede
8. Kibu Denga angebaki huko huko alikokimbilia
9. Mgunda angekuwepo haya yasingetukuta
10. Hatuji tena uwanjani

CC
Kalpana
GENTAMYCINE
Tsh
cocastic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ