Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

mpaka anasema maneno hayo huwenda wameshamuonya na waliomuonya wanaogopa!, alasivyo ni mchezo wakisaikolojia!. huyu ngoja ajiset kwenye mfumo..šŸ˜€
 
Inawezekana tafsiri ndio tatizo mwandishi angeandika Lugha aliyosema huyo kocha kuliko kumlisha kitu tofauti ili wao wauze...
 
Kwani mechi imeshachezwa?
 
Huyu kocha anamidadii Sanaa,keshoo atateseka sana Na hatuli nae Christmas atakua kwao Biashara imeisha🤣🤣hamna kocha hapo mikwalaa mingi mbinu 00.
 
Huyu kocha anamidadii Sanaa,keshoo atateseka sana Na hatuli nae Christmas atakua kwao Biashara imeisha🤣🤣hamna kocha hapo mikwalaa mingi mbinu 00.
 
Ni vizuri wanayanga mkajiandaa kisaikolojia, litawakuta jambo ambalo hamtaamini.
Ni muhimu kuchukua tahadhari.
Goli ni kuanzia 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…