Aziz Andabwile siyo Stephano Aziz Ki, Yanick Bangala anachukulika tu pale Yanga salary bajeti yao ni ndogo sana kulinganisha na Simba so anaweza chukulika hasa ikizingatiwa ana contract ya mwaka mmoja tuHapo kwa Aziz na yanick, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Aziz wa nn wee? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aziz Andabwile siyo Stephano Aziz Ki, Yanick Bangala anachukulika tu pale Yanga salary bajeti yao ni ndogo sana kulinganisha na Simba so anaweza chukulika hasa ikizingatiwa ana contract ya mwaka mmoja tu
Kuna sehemu nimezungumzia mambo ya jukwaan!? Mie kwangu kanoute sio midfield ya kusema anauwezo wa kusambaratisha kiungo pinzani, aidha kwa pass zake, movements zake na kadhalika, nahisi hata mimi nikicjeza na kanoute naweza kuenjoy tu dimba la kati, yuko na pass accuracy mbovu kupitiliza.Kwa kanoute nakupinga, yupo vizuri sana, na ameshadhihirisha hilo, sema hanaga mambo ya jukwaani,
Kanoute abaki na awepo sana tu.
Yes tunatofautiana hata mimi kwangu mkude huwa ni hapana, sababu japo ni kiungo mkabaji ila si mzuri katika kupora mipira, kukimbiza mipira, kuziba mianya na njia, tukimuita kiungo wa chini inampendeza kuliko kumuita mkabaji.Mkuu tunatofautiana kwa kanoute....
Kwangu mimi lazima aanze hata jana alipoumia nilikuwa kichwa chini.
Mid mzuri sana ila Mkude ndio Hapana.
Ni Defensive midfielder mzuri sana ni kama replica ya James Kotei mwenyeSasa Aziz wa nn wee? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yeah kiasi flani anastruggle kwenye pass accuracy haswa Crossfield passes, ila angalau ni update ya waliokuwepo.Yes tunatofautiana hata mimi kwangu mkude huwa ni hapana, sababu japo ni kiungo mkabaji ila si mzuri katika kupora mipira, kukimbiza mipira, kuziba mianya na njia, tukimuita kiungo wa chini inampendeza kuliko kumuita mkabaji.
Kwa kanoute, jamaa anatumika kama box to box midfielder, ila hili jukumu hatekelezi ipasavyo, kanoute yupo na pass accuracy mbovu, labda ajirekebishe huko mbele, ila kwa sasa kwangu ni no japo sio BIG NO.
Yes, kwa waliokuwepo ni angalau nakubaliana nawe.Yeah kiasi flani anastruggle kwenye pass accuracy haswa Crossfield passes, ila angalau ni update ya waliokuwepo.
Mkuu hebu tutajie midfielder mmoja upgrade ya Sadio Kanoute ambayo kwa bajeti ya Simba wanaweza kumsajili ?Yes, kwa waliokuwepo ni angalau nakubaliana nawe.
Tunahitaji bora zaidi, sio angalau kwa waliokuwepo.
Kwa wachezaji wa ndani Nashon Naftali wa Geita Gold FC ni kiungo mkabaji mzuri tu.Mkuu hebu tutajie midfielder mmoja upgrade ya Sadio Kanoute ambayo kwa bajeti ya Simba wanaweza kumsajili ?
Aziz Andambwile ni slow na ana uvivu fulani.Nashon Naftal ni bora zaidi yake.Ni Defensive midfielder mzuri sana ni kama replica ya James Kotei mwenye
Bwaly pekee ni namba 8 bora kuliko kanoute.Mkuu hebu tutajie midfielder mmoja upgrade ya Sadio Kanoute ambayo kwa bajeti ya Simba wanaweza kumsajili ?
Huyo anaweza kuwa Upgrade ya Midfielders waliopo Simba ?Kwa wachezaji wa ndani Nashon Naftali wa Geita Gold FC ni kiungo mkabaji mzuri tu.
Mimi nakutajia.Bwaly pekee ni namba 8 bora kuliko kanoute.
Kwa soka letu la Afrika nitakuongopea maana wachezaji wengi hatuwajui ama hatupati nafasi ya kuwaona, inahitajika scouting ya kutosha kupata hao watu
Walimpataje chama, kabla ya hapo sikuwa namjua chama, vipi niyonzima wa yanga, pape ousmane,
Kabla sikuwa nikiwajua bangala, inock baka, wala yeye kanoute hivyo nitaongopa tu.
Huku kusajili kwa majina kazi ni scouting, anahitajika mchezajinwa hivi hivi na hivi. Sasa kanoute kwangu mimi sifa za midfielder mzuri kwa soka la simba hana sifa hizo, simba wanataka kudominate game, kupiga pasi nyingi sasa engine ya timu anapokuwa hana uwezo wa kupiga hizo pass lazima mfeli, yule ni midfielder wa buuu, buuu, buu. Viungo jamii ya abubakar sure boy, cesc fabregas, thiago motta, xavi, thaban scara kamusoko, aucho, niyonzima, mido inapiga pasi inautaka tena, sio akioiga pasi ndio kamaliza shughuli yake.
Huyu zemanga soze ndio yule wa tp mazembe!? Hao wengine woote siwajui, na huenda wakawa wanavipiga katika club zinazoshiriki michuano ya caf.Mimi nakutajia.
1. Fabrice Lwamba Ngoma.
2. Zemanga Soze
3. Gilbert Baruti
4. Stephano Aziz Ki
5. Collins Sikombe
Lipo...
Orlando Pirates wanamtaka huyo Pablo unaemdharau.Hapana, kwangu Pablo aondoke, amekisa hata akili ndogo ya kutumia.
Tukianza na vile vipigo viwili vya Mbeya City, na Kagera Sugar, na draw ya Mtubwa.
Angekuwa na akili nzuri angebadili mfumo baada ya kipigo cha Mbeya City, aimarishe ulinzi, lakini kwa ujinga wake, akabaki na mfumo ule ule matokeo yake tukazidi kupoteza pointi zaidi.
Kwangu ni kocha asiye na Plan B, anakomaa na hiyo hiyo moja, matokeo yake ni maumivu tu kwa mashabiki.
Mfano mwingine, Ile game ya Orlando Pirates, Wawa na Mugalu wana yellow card, wameenda HT. Kocha angekuwa na akili angetakiwa kuwatoa wale kwasababu pressure ya mchezo ilikuwa kubwa hivyo kupewa yellow nyingine ilikuwa easier, ambayo ni red.
Kocha akawaacha, second half Mugalu akapewa yellow ya pili matokeo yake red ikasababisha Simba wacheze pungufu, then ndio Simba wakafungwa, hiyo ni mifano michache tu, kwangu huyo kocha hafai aondoke.