Kocha wa Simba SC, Pablo Franco ni Kocha mzuri ila anahitaji wachezaji

Umetoa mtazamo murua kabisa..!
 
We jamaa unajua sana wachezaji na mpira,
 
Huyu zemanga soze ndio yule wa tp mazembe!? Hao wengine woote siwajui, na huenda wakawa wanavipiga katika club zinazoshiriki michuano ya caf.

Je stephano ki aziz anacheza mido ya kati!!?
Aziz Ki ni central midfielder.
Zemanga Soze ni TP Mazembe
Ngoma yupo Raja Casablanca
Collins Sikombe yupo Napsa Stars
Gilbert Baruti yupo Jwaneng Galaxy yule kipara namba 22 aliyekuwa akiitawanya midfield yetu pale kwa Mkapa kama watoto wadogo.
 
Bas poaaaah.
 
Vp lakn NBC 2021/2022 nan anaweza beba
Yanga ni kama vile tayari wameshautwaa ubingwa labda itokee MIUJIZA tu wapate sare mechi tatu mfululizo na wakati huo tunashinda title hope itarejea tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…