Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Niliwaambia hapana haja ya kuwa na timu hiyo. Kaeni hata miaka 5 mtengeneze timu
Hapo ndo napotaka serikali iwe inaingilia soka,ila ndo hivo sheria za FIFA haziruhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwaambia hapana haja ya kuwa na timu hiyo. Kaeni hata miaka 5 mtengeneze timu
Mimi huu mpira wa taifa stars nimechoka kabisa kushangilia timu ambayo kazi yake ni kufungwa tu.bora watanzania tubaki kumshangilia ali kiba na diamond tu.
Sina hakika kama MWENDAWAZIMU anapona, kama anapona basi anahitaji dawa na dozi yakinifu, pia dozi na dawa anaweza akapata ila tatizo wale waliopewa jukumu la kumpa dawa je wanampa kwa utaratibu elekezi?
Kupona kwa MWENDAWAZIMU yahitaji umakini sana.
Hivi mnaopiga kelele hapa jukwaani ALIYEWAAMBIA MSHABIKIE TIMU YA TAIFA nani?
unayeshabikia timu ya TAIFA STARS unatafuta vidonda vya tumbo bure.
Kujibizana na vijana unajidhalilisha wewe. Ni bora kuonyesha ukomavu. Matusi mitandaoni haijengi maana inawezekana wanakuita mama ingawa ni baba au ni kijana etc. Punguza jazba ili vijana wajifunze kwetu kuvumiliana
Wala huna haja ya kimsikitikia kiasi hicho. Tumezoea tu kudanganyana kwa kutumia vichwa vya habari. Bora hata wangesema anastaafishwa kwa manufaa ya umma. Mtu anayeachishwa kazi analipwa mishara yake yote iliyosalia? Si amepewa fursa ya kupata ajira nyengine mapema zaidi bila ya kupoteza mafao ya ajira anayoachana nayo? Wanahabari wawe wakweli, wasijaribu kutufurahisha eti kwa kocha kufukizwa ilhali pesa yetu inateketea. Tulifanya hivyohivyo kwa Paulsen, wakakaa kimya. Sijui huyu Malinzi ana deal nao hawa ili wagawane hicho kivunja mkataba!Usimchekemwenzio.anafamilia inamtegemea ..kesho yako leo yake...mbeleyake.nyuma yako mpwa..kwenye ajora sitoshabikia.mtu akifukuzwa kumbuka familiangap zinamtegemea bahatimbaya akalemalimao na yeye
tatizo la mako ha wazawa si lazima liwe uwezo. Kikwazo ni kumpata asiyeendekeza u-Yanga ama u-Simba.hap umenena ndugu,,, wakt umfika w kuwaamin makocha wazawa xax
unaweza kuwa sahihi, lakini kwa ukurasa huu mbona ni sawa an padri anayehubiri ndani ya bar?Mm sioni ubaya wa huyo kocha athari za timu ya taifa kufanya vibaya ni ndogo sana ukilinganisha na athari za serikali ya za majiji ya Dsm.
Kama kweli tuna uchungu na nchi hii na tunahitaji maendeleo ya kweli tungeanza kumuondoa meya wa Dsm Masaburi tukaendelea kuwaondoa mameya wa Ilala Temeke na kinondoni. Na hata viongozi waajiriwa wa majiji hayo.
Uchafu wa kocha wa timu ya taifa ni mdogo sana kuliko watu hao nilio wataja.
Jiji la Dsm limekuwa kama danguro halieleweki halina mpangilio halina usimamizi wala taratibu nahisi sina kauli nzuri yakulielezea zsidi ya kusema viongozi wa majiji yote ya Dsm ni wabovu na hawako kwa ajili ya watu Dsm.
Laiti pangekuwa na vipindi vya radio na tv na kurasa za magazeti zinazo zungumzia utendaji wa majiji ya Dsm kama za michezo basi wengi wetu wangejua kama mpira sio tatizo kama jiji lilivyo.
Lakini kwakuwa mpira una vipindi ktk radio na tv na unakurasa ktk magazeti ndio tunaona tunavyo boronga.
Shida za uchafu shida za foleni za magari shida za kusimamia sheria za majiji shida za kila aina lakini mameya hawazioni mpaka shida za vituo vya dalala nazo hawazioni.
Mm sioni hata kwa nini tunakuwa na mameya.