Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

Jamal Malinzi nilimuamini sana kuendeleza pale alipoishia Tenga ila hadi sasa natamani uchaguzi urudiwe kesho
 
Malinzi ni jangiri...yaani alivohamishia ofisi ppf towers tu nikajua hili ni boga hakuna Rais pale..na majibu yake ya kwenye kanga wakati wa kumchagua mwizi Blatter ndio kabisaaaaa
 
Mimi walibyopokea rushwa za Blattler na kuwatia upofu hata mimi nilianza kumchukia huyu Nshomile. Jinga sama hili jamaa no wonder hapa JF lilikuwa linashinda MMU tu na chitchat hata jukwaa hili halikuwa haji.
 
Tatzo la soccer la Tanzania ni la kimfumo km ilivyo CCM!!Chaguz za TFF zimejaa ruxhwa na ukiriritimba!!! Haya sasa mliokuwa mnampigia chepuo Malinzi mseme katufikixha wapi????????? Ukistaajabu yaTFF utayaona na ya CCM October!!! Tanzania hii ni zaid ya uijuavyo
 
Kocha na hao malinzi na mfumo wao wote tatizo....
 
We ave talented young players and we still be best losers,
Better if he get sack...tunataka improvments,sio kila siku roho juu juu tu

Talented players wako wapi? Kocha mnamuonea bure. Hatuna mfumo mzuri wa kukuza vipaji .
Hao wachezaji mahiri wa kuunda national team tuwatoe wapi?
 
Taifa star wachezaji wake sijui nimapunguani hayafai hata u housegirl
 
Kikwete ka jaribu kuibeba hiyo timu lkn haibebebeki yeye, wachezaji wa me pesa kila kitu lkn uwezo ziko. ...hawajitumi
 
Mm sioni ubaya wa huyo kocha athari za timu ya taifa kufanya vibaya ni ndogo sana ukilinganisha na athari za serikali ya za majiji ya Dsm.
Kama kweli tuna uchungu na nchi hii na tunahitaji maendeleo ya kweli tungeanza kumuondoa meya wa Dsm Masaburi tukaendelea kuwaondoa mameya wa Ilala Temeke na kinondoni. Na hata viongozi waajiriwa wa majiji hayo.
Uchafu wa kocha wa timu ya taifa ni mdogo sana kuliko watu hao nilio wataja.
Jiji la Dsm limekuwa kama danguro halieleweki halina mpangilio halina usimamizi wala taratibu nahisi sina kauli nzuri yakulielezea zsidi ya kusema viongozi wa majiji yote ya Dsm ni wabovu na hawako kwa ajili ya watu Dsm.
Laiti pangekuwa na vipindi vya radio na tv na kurasa za magazeti zinazo zungumzia utendaji wa majiji ya Dsm kama za michezo basi wengi wetu wangejua kama mpira sio tatizo kama jiji lilivyo.
Lakini kwakuwa mpira una vipindi ktk radio na tv na unakurasa ktk magazeti ndio tunaona tunavyo boronga.
Shida za uchafu shida za foleni za magari shida za kusimamia sheria za majiji shida za kila aina lakini mameya hawazioni mpaka shida za vituo vya dalala nazo hawazioni.
Mm sioni hata kwa nini tunakuwa na mameya.

Nilikua sijui kama meya wa jiji ndo msimamizi wa sports!!!
 
WILFRED KIDAU NA Jamal Malinzi MBONA BADO WANAPEPESA MACHO NA KUTIKISA MASIKIO! WATUPISHE
 
Mm sioni ubaya wa huyo kocha athari za timu ya taifa kufanya vibaya ni ndogo sana ukilinganisha na athari za serikali ya za majiji ya Dsm.
Kama kweli tuna uchungu na nchi hii na tunahitaji maendeleo ya kweli tungeanza kumuondoa meya wa Dsm Masaburi tukaendelea kuwaondoa mameya wa Ilala Temeke na kinondoni. Na hata viongozi waajiriwa wa majiji hayo.
Uchafu wa kocha wa timu ya taifa ni mdogo sana kuliko watu hao nilio wataja.
Jiji la Dsm limekuwa kama danguro halieleweki halina mpangilio halina usimamizi wala taratibu nahisi sina kauli nzuri yakulielezea zsidi ya kusema viongozi wa majiji yote ya Dsm ni wabovu na hawako kwa ajili ya watu Dsm.
Laiti pangekuwa na vipindi vya radio na tv na kurasa za magazeti zinazo zungumzia utendaji wa majiji ya Dsm kama za michezo basi wengi wetu wangejua kama mpira sio tatizo kama jiji lilivyo.
Lakini kwakuwa mpira una vipindi ktk radio na tv na unakurasa ktk magazeti ndio tunaona tunavyo boronga.
Shida za uchafu shida za foleni za magari shida za kusimamia sheria za majiji shida za kila aina lakini mameya hawazioni mpaka shida za vituo vya dalala nazo hawazioni.
Mm sioni hata kwa nini tunakuwa na mameya.

Kaka unachosema ni kweli, halafu jamani watanzania kweli tumerogwa, bora yako wewe unaweza kuona na ukapatwa na uchungu kwa vile hilo jiji ni sura ya nchi yako, kuna mijitu inachukulia poa yaani bora liende na baadhi inawapigia kura na kuwaweka madarakani, kiufupi mfumo mzima wa kijani na manjano ushafeli kinyama ni wa kuupiga chini kabisa, na kaka tatizo si la dar tuu, hata huku bukoba kila siku barabara za katikati ya mji zinawekwa viraka utafikili suruali lililochoka la mlevi wakati manispaa yetu ilipewa bil 20 na bank of africa kwa ajili ya ujenzi wa miradi badala yake viongozi wa kijani na manjano wakazitolea macho na wakashindwa namna ya kugawana na wakasusia vikao vya halmashauli mpaka fedha zikarudishwa. Nikiwazaga huwa nahisi kufa. Jamani ccm mmetuchoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Mm sioni ubaya wa huyo kocha athari za timu ya taifa kufanya vibaya ni ndogo sana ukilinganisha na athari za serikali ya za majiji ya Dsm.
Kama kweli tuna uchungu na nchi hii na tunahitaji maendeleo ya kweli tungeanza kumuondoa meya wa Dsm Masaburi tukaendelea kuwaondoa mameya wa Ilala Temeke na kinondoni. Na hata viongozi waajiriwa wa majiji hayo.
Uchafu wa kocha wa timu ya taifa ni mdogo sana kuliko watu hao nilio wataja.
Jiji la Dsm limekuwa kama danguro halieleweki halina mpangilio halina usimamizi wala taratibu nahisi sina kauli nzuri yakulielezea zsidi ya kusema viongozi wa majiji yote ya Dsm ni wabovu na hawako kwa ajili ya watu Dsm.
Laiti pangekuwa na vipindi vya radio na tv na kurasa za magazeti zinazo zungumzia utendaji wa majiji ya Dsm kama za michezo basi wengi wetu wangejua kama mpira sio tatizo kama jiji lilivyo.
Lakini kwakuwa mpira una vipindi ktk radio na tv na unakurasa ktk magazeti ndio tunaona tunavyo boronga.
Shida za uchafu shida za foleni za magari shida za kusimamia sheria za majiji shida za kila aina lakini mameya hawazioni mpaka shida za vituo vya dalala nazo hawazioni.
Mm sioni hata kwa nini tunakuwa na mameya.

Hapa tunaongelea mpira hayo mambo ya meya wa jiji peleka kwenye thread za siasa
 
kufukuza kocha sio suluhisho na bado hizo fidia wangemwachia tu amalize maktaba wake pale tff kumejaa majungu hata hao makocha wazawa wanaopigiwa debe hawatafanya kitu hii timu ilishatolewa kabla ya mashindano tatizo ni tff ulipoingia uongozi mpya ulitaka kuamza upya hata pale pasipo stahilimpaka sasa hawajaeleza kwanini walikatisha mkataba wa kim poulsen kwa hili naungana na faizafoxy
 
Back
Top Bottom