Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana timu yetu ya taifa haifanyi vizuri kwa sababu wachezaji wanaocheza wamevuka miaka 23?!!Wachezaji wote juu ya umri wa 23 waondolewe. Wabakie wenye umri chini ya 23
Hawa askari vipi... mbona hawakumfunga pingu?
Ina maana timu yetu ya taifa haifanyi vizuri kwa sababu wachezaji wanaocheza wamevuka miaka 23?!!
Sergio Aguero = 27
Leonel Messi = 27
Pablo zabaleta = 29
Marcos Rojo = 25
Javier Mascherano = 31
Martin Demichelis = 34
Hao ni baadhi tu ya wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina na umri wao, na hakuna mchezaji alie chini ya umri wa miaka 23 lakini mbona wanafanya vizuri!!!
Je hao vijana akina Ndemla, Mkude, Msuva, na wengine wamepitia katika academies gani!!!?
Unataka nikuletee miaka ya wachezaji wa ujerumani waliochukua world cup mwaka jana!!!Hiyo ni kwa ajili ya kujenga timu upya. Anyway Argentina imechukuwa world cup lini? Hivi karibuni?
Hiyo ni kwa ajili ya kujenga timu upya. Anyway Argentina imechukuwa world cup lini? Hivi karibuni?
Tunaemjua Malinzi tuliyategemea sana haya..Soka halitaki uongozi wa showing off na mbwembwe vitendo ndio muhimu..Tena alikuwa naweka uzi humu sijui kapotelea wapi lubisi mkubwa yuleee...yaani mi hadi nakosa usingiziWamemuonea, alitakiwa afukuzwe, kwanza Malinzi, name mshauri wake