Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani.
Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika.
Kama mtu unafurahia hatua za mtoto kukua tangia azaliwe basi Taifa Stars ipo katika hatua nzuri sana inavyokua kisoka.
Nilikuwa sijawahi kuwaona Taifa Stars wakicheza live kwa kipindi kirefu nikijua wao butua butua na kelele nyingi uwanjani kuombana pasi, lakini Kim kabadilisha sana team kiufundi uwanjani hakuna kelele tena kila mtu anawajibika katika nafasi yake.
Watanzania tukubali uchanga wetu na kufurahia kukua vizuri timu yetu. Huyu kocha aendelee kuionoa timu na ipo siku tutafika fainali za World Cup chini ya usimamizi wa Kim Paulsen.